Nimuachaje D?

fuata moyo wako ila kumbuka you have been in relation to M kwa mda mfupi af unamsifia et anatabia nzuri aisee chariii angu tabia ya mtu aisomwi kwa mwaka au miezi utaula wa chuya mimi hapo D naona yuko pouw kwako hata kama umuhitaji ila sawa coz wataalamu wa hayo mambo wanasema usikubali kuoa mwanamke eti kisa umezaa nae au umekuwa nae kwa mda mrefu oa yule ambaye umemridhia mwenyewe
 
Haya maneno yanamchoma babu Asprin
 
Waache wote, na wewe ukaanze mahusiano mapya na mtu mwingine
 
Kuna wakati usiangalie moyo wako unampenda nani angalia unapendwa sana na nani.
Kukuta mnapendana 100% hapa duniani sio rahisi. Pendeka acha kutanga tanga
 
Ndio shida ya kuomba ushauri kwa watu, binadamu tumeumbwa na moyo wa huruma. Naona karibu wote wamekushauri ubaki na D sababu ya huruma ambayo binadamu kaumbwa nayo bila kuangalia furaha yako

Nikwambie kitu kimoja na pengine hata wengine pia wakitilie maanani, mambo yote tunayofanya katika kupambana na maisha mwisho wa siku jambo la msingi ni "kuwa na furaha". Katika kuifikia hiyo furaha lazima upitie magumu hivyo Mimi sioni sababu ya kuogopa wewe kumuacha D na kuwa na M sababu M Ndio furaha yako, ukija kubwagwa na M sababu ya masikitiko ya D Hiyo ni sehemu ya mapito ya kufikia kwenye furaha yako.

Achana na mambo ya karma sijui masikito furaha yako Ndio kitu cha kwanza. Muache D kwa amani aende zake kamata M upate furaha.

NB: Ukiendelea na D utamuumiza zaidi kuliko ukimuacha sababu moyo wako na fikira zako zimesha hama hazipo tena kwake hivyo utaishia kumtesa tu
 
Mahusiano yanayoibuka yenyewe bila kutongozana ndio mahusiano ya kweli.Baki na D mkuu.M hamjawahi kugombana?
 
Ahahahah bora ukweli uume kuliko kudanganywa
Mama Sabrina haya mambo ni magumu sana.Kumbuka juzi tuu hapa ulidai kuwa kwa unavyompenda ungekubali kuwa mke wa pili then aje akwambie uchukue 50 zako.
 
Ukishamuacha D tu utaanza kuona true colours za M

Do you mean M falsifies?
Reading between the lines, it look like you did not read the first paragraph between the lines.

M hajui chochote kuhusu D
 

D niliingia naye kwenye mahusiano kabla ya M, ni kweli. Lakini sio kwamba nilimpenda sana, sio kweli. Niliyempenda zaidi ni M, si kuusemea moyo, lakini ni wazi kabisa naye ananipenda. Unadhani ni rahisi kumuacha mtu unayempenda, na kuishi na usiye mpenda?

Kuhusu madhara yatakayomkuta D baada ya kumuacha ndio nachohofia zaidi, na ndio sababu ya kuandika huu uzi, sipendi nimuache hadi afikie maamuzi magumu uliyosema.
 

Asante kwa ushauri wako mkuu.
 
First come first served

Hakunaga mwanamke mwenye akili za ke mwenyewe husasani katika maisha .

Kama D akakubali vilivyo go with her leave M

Akili zako za maisha zitakuwa inducted kwa once mkihalalisha na utamwongoza the way unavyotaka awe.

Kuhusu uzuri sidhani kama kuna mwanamke mbaya wanahitaji matunzo tu alishakula protini xa kutosha we mwenyewe utamtamani na kumtongoza upya mkeo.

I see karma is awaiting for u to trigger it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…