Nimuachaje D?

Wewe muache Tu huyo D. ... kisha uone kwanini KARMA ikaitwa MALAYA "..... Kuna harufu naisikia ya mtoa mada kuwa mkosa vyote"... TANGU nimekuwa timamu upstairs huwa naumia mnoo napo mfanyia binaadamu mwenzangu ubaya ambao sipendi kufanyiwa ". huwaga nafsi yangu ina udhaifu fulani hivi " inapotokea nika cheat halafu chick wangu akajua akianza kunisema

" huwa nahisi yale maumivu ambayo nimemsababishia"..finally huwa najikuta naanza kulia ghafla tu ' kwakweli mimi nimiongoni mwa watu wenye huruma mnoo " ... jamani eehh "JAMBO USILOLIPENDA KUFANYIWA USIMFANYIE MWENZAKO AISEE ....
 
it's so fun
ayo ndio makosa alio yafanya D kukupa moyo wake wewe sababu umetuambia alibrek up na jamaaa yake na kuja kwako na sasa ayo ndio madhala anayapata ya wewe kutaka kumuacha uyo D kwaiyo

kosa alofanya D la kumuacha mpenz wake wa kwanza ndio na wewe unataka kulifanya kwa D mwisho wa siku nae M atafanya ivo ivo kwako kama utakavyo mfanyia D na kama D alivyo mfanyia jamaaa yake
mwisho muosha huoshwa
 
Mkuu dalili zinaonesha D is the real deal

M kwa sasa ameuteka moyo wako kwa sababu siku zote kipya ni kinyemi (hapa wanaume wenzangu watanielewa kuhusu mzuka wa dem mpya)

Nakuhakikishia ukiisha achana na D, ukabaki na M akitokea S pia utaona ana sifa zote za D jumlisha sifa nyingine za ziada

Sababu za kumuacha zipo nyingi tu endapo unataka kumuacha mwenza. Unaweza hata mwambia uliwaeleza Wazazi wako kuhusu yeye, Wazazi wakakataa kabisa usije oa mtu wa kabila lao (necessary lie)

Hii itamuokoa mdada wa watu ambaye ni very innocent, na wewe ambaye kwa sasa unajiona kama upo gerezani

Lakini kuwa makini usije juta baadae kwa kumuacha Doris sijui Debora
 

Umemshauri vzr lakin sidhani kama moyo wake utakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…