ENGINE CONTROL
Senior Member
- Nov 20, 2011
- 136
- 27
Kuna msichana 1 nimempenda ila yeye simuelewi elewi.
Ni hivi mara ya kwanza mwaka jana mwez kama wa 5 nilimtongoza na akanitolea nje na kunitukana sana matusi.Cha ajabu some time alikuwa ananipigia simu tunaongea fresh ila nikimtumia sms ihusuyo mapenzi anang'aka na kunitukana sana cha ajabu kingine kwa dada zake marafiki zake anasema kuwa mim ni boyfriend wake. Nilimpotezea kwa mda sana mpaka mwaka huu naona sasa amekuja kwa kasi ya ajabu sana some time ananipigia simu na kunitaka niende kwao mim sikwenda akanilaumu sana,na anandugu yake anakaa mitaa ya home now amekuja na kasema amekuja kwa ajili yangu na yupo hapo kama wiki 2 na kafanya hivyo baada ya kumzingua kila alipokuwa anakuja nilikuwa namkwepa kuonana nae na kumwambia daily narudi usiku hivyo yeye kaamua kuchukua uamuzi huo ili apete onana na mim.
Msaada wenu je?? Nimtongoze tena au nimpotezee??
Kinachonikata maini mara ya kwanza nilipomtongoza alinitukana sana matusi na kunikejeri kwa maneno ya dharau.