..ni karibu miaka minne hivi..!Namshauri asiachane na hiyo ndoa kwa sababu:
1.0 Kama Mungu akimjalia kupata mtoto atakuwa na jeuri ya kuthibitisha kwa mumewe kuwa ni kosa lake la kutokuwa na subira tu.
2.0 Kama akikosa basi akubali kumlea huyo mtoto kama mumewe hamnyanyasi na maisha yasonge.
Swali la mwisho ndoa yao ina muda gani toka wafunge ndoa????
..shida ni kwamba anaona kama mumewe alifanya ili ajaribu aone kama yeye ni mzima and tatizo libaki kwa mkewe and anaona kama mumewe alitumia udhaifu wake kutoka nje ya ndoa..!mwambie aweke furaha yake mbele....kama anafurahia hiyo ndoa abakie,kama hana furaha asepe
niwambieni kitu Ciello na King'asti hakuna maumivu ya nafsi kama kucheat kwa sababu mumeo au mkeo amecheat!
raha yake inaisha the moment mwanaume anashuka kifuani kwako au mwanamke anavaa pichu yake!kucheat uamue tu kwa nenge zako lakini kwa kulipa kisasi?uwwwwhih!wala hupati ile amani au furaha uliyoamini ukicheat utaisikia baada ya tendo!
Mamito mie bila kuneutralise nitaweka kisasi moyon so kutoa maumivu ni kupigacounter cheating tena afumanie kabisa then tukae meza moja tuzungumze kidiplomasia....
ive been there sweetie!
so nielewe tu na hili muulize mtu yeyote mwenye kujifunza na kuruhusu wengine wajifunze kupitia makosa yake!
..ni karibu miaka minne hivi..!