Nimsaidieje huyu dada.

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Huku mtaani ninapokaa kuna dada mmoja jirani yangu ameniomba ushauri kuwa jamaa yake hajawahi kumfikisha kileleni toka waanze uhusiano wao miaka 3 iliyopita,nimemuuliza kama jamaa huwa anamuandaa kabla ya game amesema ndio.Ndugu wana jf wenzangu naomba mtoe ushauri kwa huyu dada.
 
Wamehalalisha uhusiano wao?? yaani kuna chembe chembe za ndoa??
Nani alimwambia kwamba hafiki kileleni?? Na amejuaje anahitaji kufika kileleni??

Aende huko alikosikia!
 
kwanza ameshamwambia huyo mpenzi wake kwamba yeye hafiki kileleni?
Kaisha mwambia lakini jamaa akamwambia atajitahidi kuongeza mautundu lakini huyu dada anasema hakuna mabadiliko yoyote yaliyotokea mpaka sasa.
 
hapo magumu, huyo mwanamke pamoja na huyo mme wake wajitaidi wote wawe wabunifu katika huo mchezo wetu wa kiutu uzima, tumia style mbalimbali, wafanye sehemu tofautitofauti, yani inshort ubunifu na uvumilivu unaitajika mzee na hiyo isiwe kazi ya mtu mmoja wote washirikiane...
 
Huku mtaani ninapokaa kuna dada mmoja jirani yangu ameniomba ushauri kuwa jamaa yake hajawahi kumfikisha kileleni toka waanze uhusiano wao miaka 3 iliyopita,nimemuuliza kama jamaa huwa anamuandaa kabla ya game amesema ndio.Ndugu wana jf wenzangu naomba mtoe ushauri kwa huyu dada.

Mwambie huyo dada, KUFIKA KILELENI NI KWA AJILI YA WANANDOA TU.
 
mbona unamkawiza mkuu.? Jewewe ulimwambia unaweza kumfikisha kileleni?
Hapana mimi siwezi kula mali za watu hata hivyo mie ninaye wangu ambaye nampenda sana na siwezi kumsaliti,pia vitabu vya dini vinakataza kuwa na tamaa za ngono.
 
Huku mtaani ninapokaa kuna dada mmoja jirani yangu ameniomba ushauri kuwa jamaa yake hajawahi kumfikisha kileleni toka waanze uhusiano wao miaka 3 iliyopita,nimemuuliza kama jamaa huwa anamuandaa kabla ya game amesema ndio.Ndugu wana jf wenzangu naomba mtoe ushauri kwa huyu dada.

Imekuaje akakuambia wewe?
 
Hapana mimi siwezi kula mali za watu hata hivyo mie ninaye wangu ambaye nampenda sana na siwezi kumsaliti,pia vitabu vya dini vinakataza kuwa na tamaa za ngono.

Unamfikisha kileleni?
 
wana-affection? Feelings? Chemistry kati yao?? Je mdada yupo kwenye stress?? Ex-wake alimzoesha mchezo gani?? Waanajiandaa vizuri....
As a last resort jamaa aende uvinza kutegemeana na hygiene zao + antibacterial measures
 
maswali mengine bana,sasa utamsaidia vipi zaidi ya wewe kumfikisha kileleni?
swala hili ungekuja kuuliza wakati ushampatia msaada wa haraka wa kumfikisha kileleni kwanza
 
Du! Hichi kulee inaonekana kipo mbali saana so kama anashindwa kufika atumie kamba manake huo mlima inaonesha ni mrefu kuliko kilimanjaro au kunabarafu sana jamaa anaweza akawa anaona baridi akikaribia kilele hivo anarudia njiani/ au!!??
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom