Nimsaidieje huyu binti?

Sikulaumu kwa hayo maana sio kosa lako labda ukujua nini kingetokea kama hukuwa na interest na women Kwanin ulimtongoza alafu unakuja kutuambia kuwa amekutunuku medari mwenyew ya ushindi
kama huku mtamani nini sasa

Na pia wew sasa unaelimu uwezi sema kuwa hukuwa na mpango na uyo dem maana kama ulikuwa umpendi ni bora ungemwambia kipindi upo mbali nae ili aelewe kabisa

Kwa sasa unaweza ukamwambia huoni kuwa anaweza akasababisha mama yake ajute

Ngoja nikwambie kitu rafiki yangu aliwah kuwa na mahusiano na dem alikuwa akimfanya yule msichana kama sehem ya starehe but siku moja alimwambia live siitaji kuwa na wew tafuta mwingine lakin waliwah weka ahadi kuwa wataoana
Ndugu yangu wasichana wana mioyo midogo alienda kujinyonga na usinge kuwa mim na bro wake angekufa maana alijinyinga ndani na wakat huo sisi ndio tunaingia ikabid tuanze kumtoa kwenye kitanzi lakini alikuwa ameshaanza kupoteza fahamu .

So whatever u do look first leo na kesho utakuja kupata mtoto labda wa kike hivi utapenda akichezewa na kutolewa usichna wake na wanaUme ambao hawana future nae???

Think about that..................

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu nadhani hukunielewa vizuri, nilimtafuta nilivorudi kujua yupo upande gani kwa sasa kwa sababu kipindi chote hicho hatukuwahi kugombana kwahiyo isingekuwa vyema kumpotezea kimya.

hicho kisingizio kaka. wewe ungeendelea kumjulia hali pale anapokutafuta tuu simple as that.
 
Nashukuru sana mkuu, ila sikuwa na lengo la kumpotezea muda ila nadhani nilishindwa kuenenda sawa na wanaume wengi katika mahusiano.
 
Muite yeye na huyo jamaa yake umuelezee hiki kisa chote kama ulivyokiandika hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee
Kama kama umesoma vizuri nimesema nilikuwa tayari kumuoa ila sikuwahi kumuamini. Kwa hiyo kama ungefika muda wa kuoana bila tatizo lolote ningeoa tu mkuu na ndio maana sikuwahi kuwa na mahusiano mengine tofauti na yeye.
Weee jamaa bado utakuwa na makosa aiwezekani ukae na mdada qa watu tangu form two,bora ungemwambiia kitambo akajua lipi ni lipi unaonekana kujitetea lakini unajitetea kwa hoja ambazo ni weak wanaume wengine tujifunze na kuacha mambo kama haya, utu nao ni wa muhimu,vijana badilikeni tueshimuni hisia za Watu
 
Huyu ni mchawi kama wachawi wote wa maisha ya wanawake. Uling'oa utepe wake halafu unamwona kahaba. Kidato cha tano kama alikuwa na utepe, huyo ni jasiri. Wengi hupoteza tepe zao kidato cha pili na cha tatu.
Sasa zinang'oka from primary
 
Kama kama umesoma vizuri nimesema nilikuwa tayari kumuoa ila sikuwahi kumuamini. Kwa hiyo kama ungefika muda wa kuoana bila tatizo lolote ningeoa tu mkuu na ndio maana sikuwahi kuwa na mahusiano mengine tofauti na yeye.
Huwezi kuwa na lengo la kuoa mtu unakata mawasliano mwaka mzima na mtoto wa kike ni ua ikifikia muda limechanua ndo muda, angesubiri adi lini na mawasliano umekata na lengo lako halijui??? Utoto unakusumbua
 
Nilimuita kujua msimamo wake kwa sasa kama bado ananipenda au la, kwa sababu huwa sina utaratibu wa kupeleka wanawake kwangu mpaka nitakaekuja kuoa.
👍👍👍Dingii una misimamo Safi Sana. Hawa ukiwaendekeza Ni wapuuzi.
 
Kazi yangu kwa sasa ni kuhakikisha huyu anaolewa na huyo mtu na kusahau kabisa kuhusu mimi. Mengine yataanzia hapo.
Unafikir ni easy wewe kumfanya aolewe na uyo jamaa we kama vip ondoka msionane na uchange number usiwe na mawasiliano nae ila kabla mwambie aolewe na uyo jamaa we una mtu mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
👍👍👍Dingii una misimamo Safi Sana. Hawa ukiwaendekeza Ni wapuuzi.
Ni hatari mkuu, kila siku lawama ni zilezile (maumivu ya mapenzi) ila uwezekano wa kuepuka upo.
 
Huwezi kuwa na lengo la kuoa mtu unakata mawasliano mwaka mzima na mtoto wa kike ni ua ikifikia muda limechanua ndo muda, angesubiri adi lini na mawasliano umekata na lengo lako halijui??? Utoto unakusumbua
naogopa sana kudanganywa kiliko chochote mkuu, ndio maana nashindwa kumuamini yeyote.
 
Nimekuelewa mkuu
 
Mpotezeee tu usimtafute kabisa. Kama uliweza kumpotezea mwaka mzima..naamini unaweza kutopokea simu yake au kumblock ili aendelee na maisha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…