Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Ndo maana wanawake wa sasa hv tunaishia kuzaa vitoto viwili tu kuepuka laana za watoto kama hawa!Laanakum
...Dah, Mkuu yaani mara hii umeishafikia hatua ya kumshindanisha Mama yako na rafiki tu wa Kike??[emoji848]Wakuu naombeni ushauri.
Nina simu mbili, zote za ni Smart.
Mama na mpenz wangu wana simu za button.
Wote waniomba hiyo simu kwa wakati mmoja.
Nampenda sana mpenz wangu kiukweli ni kama rafiki yangu.
Na amekua wa msaada mkubwa kwenye badiliko la maisha yangu.
Kwa upende wa pili mama ni mama tu.
Nipo njia panda nifanyeje?
Mama ni mama mkuu hafananishwi na chochote
Mpe simu mama yako aliyekutoa tumboni uzidi kupata baraka mkuu
Kweli mkuu unachosemaMtashangaa mnamshauri vizuri hapa alafu na bado akaenda kumpa mpenzi wake! dunia ina maajabu
Una simu mbili (smart), wanaokuomba ni wawili, sasa unajiuliza nini? Wape kila mtu moja!Wakuu naombeni ushauri.
Nina simu mbili, zote za ni Smart.
Mama na mpenz wangu wana simu za button.
Wote waniomba hiyo simu kwa wakati mmoja.
Nampenda sana mpenz wangu kiukweli ni kama rafiki yangu.
Na amekua wa msaada mkubwa kwenye badiliko la maisha yangu.
Kwa upende wa pili mama ni mama tu.
Nipo njia panda nifanyeje?
Mbona jibu ni rahisi tu,mpe mama yako hiyo simu.Wanawake wapo wengi aisee lakini mama yako ni mmoja tu.Wakuu naombeni ushauri.
Nina simu mbili, zote za ni Smart.
Mama na mpenz wangu wana simu za button.
Wote waniomba hiyo simu kwa wakati mmoja.
Nampenda sana mpenz wangu kiukweli ni kama rafiki yangu.
Na amekua wa msaada mkubwa kwenye badiliko la maisha yangu.
Kwa upende wa pili mama ni mama tu.
Nipo njia panda nifanyeje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakuu naombeni ushauri.