Digital Marketer
Senior Member
- May 1, 2019
- 112
- 149
Wakuu naombeni ushauri.
Nina simu mbili, zote za ni Smart.
Mama na mpenz wangu wana simu za button.
Wote waniomba hiyo simu kwa wakati mmoja.
Nampenda sana mpenz wangu kiukweli ni kama rafiki yangu.
Na amekua wa msaada mkubwa kwenye badiliko la maisha yangu.
Kwa upende wa pili mama ni mama tu.
Nipo njia panda nifanyeje?