We dada hebu ona aibu kidogo kwanini mnapenda sana kufanyiwa kilakitu kama walemavu.Kiukweli kumpa fedha mwanaume asie mumeo eti kisa anakugonga ni dharau na aibu iliyopitiliza hatukuumbwa hivyo sisi wanawake, sasa naona Kama unalazimisha mtu wako awe na hulka za kiume na utaipata pata labda km unamtafutia sababu ya kumuacha
Ni rahisi Sana kwa mwanamke kukupa k bureee, ila ni ngumu mwanamke huyo huyo kukupa pesa yake hata buku 5 tu, tuna ubinafsi Sana, hii ni udhaifu wetu, Sasa wewe unashindana na huo udhaifu maana yake wewe ni dhaifu zaidi
Mkuu, ivi mtuwako pamanent unamwambia ungekuwa na mipango unge mgegeda alafu anadakia anasema mimi nitalipia lakini urudishe na anauwezo wakati kipesa we unamjibu nini.Tatizo lako huelewi au unajifanya huelewi. Ishu hapo ulitoa ahadi ya kurudisha pesa, inabidi ufanye hivyo, labda kama huna mjulishe.
Kuhusu mwanamke kugharamia mara moja moja (kama ana uwezo) ni suala jingine ambalo hata mimi nakuunga mkono.
Mkuu, ivi mtuwako pamanent unamwambia ungekuwa na mipango unge mgegeda alafu anadakia anasema mimi nitalipia lakini urudishe na anauwezo wakati kipesa we unamjibu nini.
Mkuu umeshawahi kuzungumza nae kuhusu hilo?Alafu miakayote wewe ndio unafanya kilakitu kuanzia usafiri malazi mitungi clab namengine meeeeengi, kumbuka hapo yeye anapesazake lakini hatumii kwa namna yoyote kwa miaka, then just one day ok, one day tena kulipia loge tu, chakula mitungi usafiri kilakitu ume sot out mwenyewe.
Wewe ndio mwanaume unatakiwa umuongoze, kama bado haeleweki unapiga chini.Hawa madem nitatizo wanafeli kwenye vitu vidogosana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna kitu inakera kama hii....kmamaeeehhhh kama nyg zinaua ni bora kusubiri tu zikutoe roho.
Rudisha pesa ya watu, pesa ukope, uchi ukope mxyuuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]. Kafie mbali hukoNingekua mimi ndio huyo mwamba, jana hiyo ndio ilikua siku ya kukuacha
Atoe helaaaaPumbafu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmezoea kula za wenzenu
Bana wee kausha mwana
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Hela haitolowi kavu kavu hivi atafute njia nyingine utamu kolea ulikuwa kwa wote na mbaya zaidi yy alipata na viprotin vya jamaaAtoe helaaaa
😏😏😏😏😏Hela haitolowi kavu kavu hivi atafute njia nyingine utamu kolea ulikuwa kwa wote na mbaya zaidi yy alipata na viprotin vya jamaa
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Hata ukinuna hatoi mtu hela hapa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji38][emoji38]Kwanza hii tabia mbaya sana, yani hadi nmepata hasira..... wanaume wa hivi wauliwe [emoji23][emoji23]
Unafikiri roho ya ubinafsi inanitawala km huyo mtu wako? Kwa asili tuko wabinafsi ila tunazidiana jinsi ya kuuficha, siwezi kuumia kwa kutoa laki moja kwa mtu wakati mtu huyo huyo amewekeza zaidi ya milioni kwanguNawewe jaribu kulipia kiwanja sikumoja tu for life, for history.
Utajiongezea thamani kwa mtuwako.
Wewe kwanini ulikubali kumkopesha huo uchiHakuna kitu inakera kama hii....kmamaeeehhhh kama nyg zinaua ni bora kusubiri tu zikutoe roho.
Rudisha pesa ya watu, pesa ukope, uchi ukope mxyuuuu.
Si ndio hapo sasaWewe kwanini ulikubali kumkopesha huo uchi
Jibu swali dada Evelyn chumvi..Si ndio hapo sasa
Ndio nami nashangaa kakaJibu swali dada Evelyn chumvi..
Shemelaaaa umechafukwaa na makasiriko kama yotee...Hakuna kitu inakera kama hii....kmamaeeehhhh kama nyg zinaua ni bora kusubiri tu zikutoe roho.
Rudisha pesa ya watu, pesa ukope, uchi ukope mxyuuuu.