Nimrudie Tena?

ni kosa kubwa sana kumrudia ex-wako. Utajuta. Keep my words utakuja kuyakumbuka one day
 
Wewe utakuwa haujajua unachokitaka, swala la kurudiana nae hapo halina nafasi tena unachotakiwa kufanya ni kuanzisha mahusiano mapya tu.
 
pole mwanya, ila nakushauri husirudi nyuma tena, maana atakuja kukutenda zaidi ya hapo. 4get, 4give na songa mbele hasije jiona kuwa huna wakukupenda. Kama ni wako am sure he will cm, huwez jua labda Mungu kuna vitu kakuepushia.
 
taratibu bidada usijeramba garasa. cc Mtambuzi. usimrudie bana, wanaume wapo wengi wewe vuta subira. una uhakika gani kama ukirudi huko upweke utaisha? relax, umri ni namba tu.
 
Last edited by a moderator:
biashara ni matangazo.... hongera kwa ubunifu katika utangazaji wa biashara yako

Ahsante kwa comment yako...ila nikuweke wazi tu kuwa hakuna biashara yoyote ile nnayoitangaza hapo,nimeomba ushauri kwa wana MMU as my thread inavyojieleza...na nimepokea mawazo yenu kwa mikono miwili.
 
Naungana na Taboraone....dada usirudi nyuma kamwe kama alikuacha yy leo wewe ndo umtafute c kujidharaulisha huko??bora ungemuacha ww thn akufate lakn umfate ww...hapana dada mpendwa hapana!!!na swla a umri unaenda wap??Mungu unayemtumain hajawi kushindwa na jambo keep on praying!utapata mume mwema sio uanze kumrudia mtu aliyekuacha je kma alitafuta reason ya kukuacha kumbe kapata mwingne???
 
Songa mbele ant,asiekupenda achana nae. Kitendo cha huyo mwanaume kutokutafuta tangu muachane ni dalili inayoweza kukuonyesha kwamba hana nia na wewe. Na hata ukiforce kua nae maumivu yatakua kwako tuu,cha muhim ebu jiamini,muombe huyu Mungu anaetoa waume wema akukutanishe na wakwako. Swala la umri lisikutishe sana ukajikuta unaangukia kwenye mikono isiyo salama. Weka tumaini na imani kwa Mungu mazingira yasikutishe,mume mwema utampata na familia iliyobora utaipata. Jipe moyo kwa Mungu hakuna kuwahi wala kuchelewa ndugu yangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…