Nimrudie Tena?

Nikuambie ki2 sicy, mara nying watu huwa hapenda sana ushaur mwepes koz tayar huwa unaelekea kwenye mawazo yake hata kama mbelen unaweza kuleta madhara. lakin amin kuwa ushaur mgum ni mzur na unaleta msimamo thabit ktk maisha ya binadam....hebu chukua tym jiulize, tangu mmeachana ni muda gani mpaka sasa?...mayb monthz or a yr. Jiulize je na yey huwa anakaa anakufikiria kama unavyomfikiria wew?...hapa jibu jepes kwako litakua ni LABDA, lakin jibu sahih mim naamin litakua ni hapana koz kama ingekua hvyo angejarb kukufuata tena hata mara1..
Sasa mim naona hapa natakiwa nikupe ushaur mgumu umbao naamin unaweza kukupa msimamo thabit...ACHANA NAE. Hili ndo la maana kurud kwa m2 hata kwa nia ya kutaka kujua km bdo yupo single au ana m2 unadhan patakusaidia nin wew?...kwanza tayar unapoanza kumuwazia ndo unavyo mrudisha moyon, unadhan itakutesa vip ukimkuta ana m2?...mi naamin utateseka zaid ya hapo. na hata kama hana m2 kumbuka kurudiana na hasa ikiwa mlikaa mbal muda mref tayar kuna punguza iman iliyokuwepo mwanzo maana hapa tayar kuna kitu inabd kiwepo, i mean wat wawil kuwa na ratba 1, system 1, unadhan ni rahs kihvyo labda kama mtarudiana hrf muone ktk kipnd hcho hcho cha kuridiana. Cha kufanya hapa sali sana, jipende na jijar sana amin cku sahih itafka na utapata mtu sahih (right relationship in a right time).
 
Wanaume wapo wengi kwani lazma urudiane nahuyo x wako??

Dada yangu Hata siku moja usiyarudie matapishi yako!
 
Tafadhali njoo PM....mbona yamefika hadi huku?
 
toa shaka dada we tu pm tu uchague mashudu na alizeti utapata tu anayekujali .ushauri songa mbele sahau ya nyuma."missing some one its doesn't mean we want them back is just the part of moving on"
 
unaposema "mapenzi kwake yamebaki kidogo sana" unanitatanisha ni mapenzi ya wewe-kwake ama ya kwake-kwako? Kama ni wewe-kwake ni bora ufanye mambo mengne. Kama ni kwake-kwako nashndwa kujua umejuaje wakat kuwasiliana nae bado. Kikubwa ktk hili ni kuangalia moyo wako,na isjekuwa unamrudia kufunika pengo la upweke wako.
 
pole sana mdogo wangu! labda nianze kwa kukuuliza hivi, BADO UNAMPENDA HUYO EX WAKO? kama ndio basi mtafute na uanze kuwasiliana naye KAMA RAFIKI WA KAWAIDA...hapo utaone response yake na kutambua kama naye bado ana mapenzi na wewe..pia ktk mawasiliano hayo utagundua tu kama ana mpenzi mwingine au la. Ukihakikisha kuwa hana mpenzi mwingine, basi chukua nafasi hiyo kueleza hisia zako kwake na kuwa babo unampenda sana na unamhitaji katika maisha yako. Hapo shosti inabidi ujishushe na uoneshe kweli unampenda na kuhitaji huyo bwana. Mimi naamini utafanikiwa tu.
 
Wanasema, "It takes 17 months and 26 days to get out of a heart break."

Subiri kwanza...
 

Pole sanaa na inaonekana unampenda sana huyo mtu, Kwa nionavyo mim mwanaume aliyekuacha halaf akaa miez hata miwil bila kukutafuta huyo hakupendi wala hata hakumbuki kam kuna mtu kama wew, huyo tayar kashampata mtu wanafaidi maisha yao, Wew achilia moyo fanya mambo yako ya msingi na jaribu kumsahau kabisa coz sio wako tena., Watu watakutia moyo umtafute ila hatA ukimpata na akajua unajirudisha hawez kukataa lazma atakuduuuu sana then akupotezee tena, Miezi kumi ni mingi sana kwa mwanaume kukaa bila mschana.
Me nakushauri achana nae kabisaa, Utapata tu wa kukutoa upweke.
 


Ahsante sana Zawadi...nashukuru tht umeelewa how it feels...yaan ni kama kidonda vile...ila najipa moyo na nimefarijika mno na ushaur wako...ahsante sana,ntazd kumtumain na kumtegemea mungu,
 
ina maana katika siku zote unazotoka mchana hakuna hata wa kukupiga mkono njiani? Tulia atakuja tu mtu usiwe na haraka usije chagua mutu ambaye sio sahihi,na kwa huyo wa zamani huna haja ya kurudi maadam umesema mwenyewe mapenzi yamebaki kidogo,kila la kheri dada.
 
pole jamani shits happen sometimes,don turn back yataisha tu na utaanza maisha mapya ya furaha tele mda utafika tu.
 


Namaanisha mapenz yangu mm kwake yy...kwa upande wake siwez kujua kwa kweli,
 

Ahsante Giti
 

Ahsante mrembo wangu kwa kunifungua macho...yaan kwa kwel ni mda umepita bila mawasiliano sasa...mh..
 
Ahsante mrembo wangu kwa kunifungua macho...yaan kwa kwel ni mda umepita bila mawasiliano sasa...mh..

Ur welcom., Wanaume ni kuishi nao kwa akili sana, mda mwingine me nawaonaga kama wanyama tu na roho zao za ajabu. Wew deal na mambo yako na fight uwe na maendeleo kias kwamba akikutana na wew atoe macho tu.
 

Well said mdau, kwanza ameshasema kua mapenzi yake kwa huyo kijana yamebaki kidogo, kwa nini urudiane na mtu wakati mapenzi yapo kidogo? Na kwa nini urudiane na mtu sababu ya upweke? Vumilia tu utapata mtu atakayekupenda kwa dhati huyo inaonekana hana mapenzi na ww tena ndo mana hajakutafuta muda wote huo
 
Mmh.. Nimechoka na username!
.. baby wa kitaa! Ina maana nyingi ujue!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…