Nani aliyokuwa mbele kwa kwa kumuingilia mwanamke akiwa kwenye hedhi? Huyo mwanaume ni mroho tu mtu gani asioweza kuvumilia siku 3 au 5 ili mwenzake awe safi ndipo amtake penzi.Mwiko wa KUMWINGILIA MWANAMKE WAKATI WA HEDHI naufananisha na Mwiko wa KUMKATAZA MWANAMKE ASILE MAYAI KWANI ATAZAA MTOTO ASIYE NA NYELE.
Duh ..tuko nyuma sana.
Nani aliyokuwa mbele kwa kwa kumuingilia mwanamke akiwa kwenye hedhi? Huyo mwanaume ni mroho tu mtu gani asioweza kuvumilia siku 3 au 5 ili mwenzake awe safi ndipo amtake penzi.
Chonde chonde jamaniiii msifanye hivyoo!!!! coz she has got a serious problemJamaa anatumia za ku-boost nini???? labda na wewe utumie ili mlingane nguvu.
hehehe niambia Nyamayao.
Ukweli utabaki pale pale mahawara wana enjoy sana kuliko nyie mlioko kwenye PINGU za maisha.
Sasa jamani... nyie wanaume how do u get ready for a new life as a married man hasa pale mkeo atakuwa kapikwa vilivyo? Je hamuoni kunakuwa na expectations pia kwa upande wa mke? Au wanaume wanafikiri hawana role?[/QUOTE]
wanafikiria they know it all....yaani wanaudhi sana..mijitu mingine bwana....tsssssssssskkkkkkkkkkkkkk..msonyo huo!
Chonde chonde jamaniiii msifanye hivyoo!!!! coz she has got a serious problem
mie naona huyo mwanaume hajiamini inaweza kuwa alikuwa na matatizo ya kusimamisha hapo mwanzoni labda kunadawa anatumia sasa anaona kama akiacha na yenyewe italala forever, hey seriously huyo mwanaume needs a real counseling na kama tuwajuavyo wanaume wa kibongo na counseling wanahisi kama vile kujidhalilisha basi nadhani give yourself first priority mummy jijali wewe kwanza na afya yako, sema NO when you feel NO akikutishia kwenda nje mwambiee Go ahead coz huna uhakika kwamba haendi, but shost tukiangalia upande mwingine wa shilingi namaanisha wewe pia unahitaji kuwauliza wakubwa zako kwamba unayomfanyia huyo mumeo ndio yanatosha au kuna mengine huyajui inawezekana huyo bwana kwenye pitapita yake huko nyuma keshapewa mahallat, maanjuamat na mahabba ya nguvu mwaya sasa mummy weye ukimletea zile za kich.......a za kusoma magazeti au style ni moja tu au mbili hutaki kuexplore au mapenzi kitandani tu jikoni huyawezi au kila siku uanzwe wewe tuu kuombwa weeee humuoneshi kwamba unamtamaniii nayo shida shost wanaume huwa wanareact vitu ambavyo wewe unaweza kuona vidogo kwao ni vikubwa kama sisi tunavyopenda kudekezwa na kujaliwa na usipojaliwa na mwenzio unanuna na kuona hupendwi mummy mapenzi yanaenda both ways , SO JIANGALIE MWENYEWE KWANZA KISHA UMWANGALIE MWENZIO.....
asante mkuuu kweli nilikuwa sipumui nilikuwa na ari na mashamsham ya kumfungua mwenzangu macho.......mmmmmnh Agika bwana hata kupumua??? hamna hata komma au fullstop nimesoms i amost collapsed lol..gud advice though!!
weeee wako unautumia?kwakweli ni kwli kwamba Mpe tandao ulio enea kute Duniani ambao ni Tigo huo mtandao hauna mipaka.
ni mwenyeji wa wapi?
Umewahi kumnyonya koni?
Mfundishe huyo mumeo namna ya kufanya mambo vizuri. Kina mama ni walimu wazuri sana wakiacha kuwa na aibu. Mwelimishe kwani si wanaume wote wanajua mwanamke anachotaka au anavypaswa kuwa treated katika mambo ya chumbani.
Zaidi umvumilie. Wengine wana nguvu kama farasi. Vumilia. Ndiyo ndoa mama.
Kingelitolewa kwa lugha ya Taifa naona kingewasaidia wengi na ujumbe ungelifanikiwa kuiifikia jamii kwa ukamilifu.Kuna Mkuu Kwetunikwetu hapa JF kaweka kitabu fulani cha zamani sana...The Perfumed Garden" -This is a good resource book... I would recommend it to men and women.Kwa kweli kina mafundisho mazuri sana.