Sema basi tukuite nani? Basi nyapu...Sipendagi mtu atuite mademu
WAKUU leo imenibidi niingie chumba hiki kutafta msaada wa kmawazo . Mzigo wenyewe ni ivi kuna demu mmoja hapa kitaa nimetkea kumpenda ile mbaya nikaamua kumtupia nyavu
Nashkuru mola amenasa na moyo wangu ukaridhia awe wangu wa maisha ila inshu ni kuwa wakali washamchakachua na ana mtoto wa miaka 5.
Mnanishauri vpi wana jf niachane nae au nipige den nisepe
Kweli kabisa nakuunga mkono!daaah tuna kazi kubwa sie mabinti tuliozaa af ni single ladies. Mungu atusaidie na atunusuru na hawa wagegedaji wasio na huruma. Km humpendi bora umuache tu mapema sio kumuongezea maumivu ya moyo. Atapendwa tu na mwingine atakaemkubali na mtoto wake.