nimpotezee au NIPIGE?

mi nakushauri hivii kajifunze kwanza lugha ndipo urudi.
 
Divisions zinabadilika sasa wame adjust points kurudi ysahishaji wa zamani ,awali D ilikuwa 21 kwenda mbele na F 21 kwenda chini , badala ya D kuanzia 35 na F 34 kwenda CHINI.
HILI LINAKUJA NA MITIHANI YOTE NA MATOKEO YATABADILIKA TUONE KAMA FORM FIVE ZITAPATA WANAFUNZI.
Hii ndio Tz yetu kila kitu chawezekana.
 

daaah tuna kazi kubwa sie mabinti tuliozaa af ni single ladies. Mungu atusaidie na atunusuru na hawa wagegedaji wasio na huruma. Km humpendi bora umuache tu mapema sio kumuongezea maumivu ya moyo. Atapendwa tu na mwingine atakaemkubali na mtoto wake.
 
Ingekua wanaume nao wanabebeshwa mimba hebu kuwa muwazi wewe ungebeba ngapi na ungetoa ngapi na ungezaa ngapi. Sasa huyo mdada kosa lake kuzaa si afadhari inaonekana hana tatizo la uzazi hata ukimuoa huna mashaka lol.
 
mwalimu mkuu wa form 3D snowhite.... hivi mitihani ya f4 wana-reseat lini?

Hahahahahaaa jamani ni kweli snowhite atujuze wanaresit lini hawa watoto maana wanapoteza muda , inabidi wawe wanajiandaa na mitihani sasa. Hivi ni nani anacheck attendance zao lol.
 
ukipiga alafu usepe itakua sio fair ukimlea mtoto itakua poa sana au ukimuacha bila ugomvi ni poa pia
 

Kijana acha usanii, umesema mwenyewe ni mdada wa mtaani kwenu, kwa vyovyote utakuwa unamfahamu vizuri. Kwani ulivyoamua kumtokea ulikuwa hujui kwamba ana mtoto. Acha kuchezea maisha ya watu, kama unaona hana vigezo vyako basi achana naye. Ndio maana huwa mnarogwa kwa mambo kama haya.
 
Hahahahahaaa jamani ni kweli snowhite atujuze wanaresit lini hawa watoto maana wanapoteza muda , inabidi wawe wanajiandaa na mitihani sasa. Hivi ni nani anacheck attendance zao lol.

mi naona waalimu wakuu wa madarasa wawe wawili wawili ili kuweza kuwamudu hawa watoto, lol!
 
Dah!! sasa kweli naamini mimi ni mgeni humu JF/MMU. Kumbe humu unaruhusiwa kuomba ushauri hata kama jambo lenyewe sio la kiungwana.
Sawa ndg wewe endelea kuwadharau wanawake, kwani kila jema na jema lake hata baya hvo hvo. kazi kwako.
 
wee gegeda alafu sepa...kwanza jiulize huyo aliyemtia mimba mbona hakuoa...so dnt think u special...gonga sepa
 

Kundi limeshapoteza ladha kabisaaa...Mi nafikiri thread km hizi ni za kuReview without Comment atajiona Boya.
Bwam Dogo kuna madarasa ya QT siku hizi.

"Umaskini mbaya kabisa ni ukosefu wa Akili ya Kujitambua"
 
We piga uyo dem afu kisanue. Kitu gani bhana mtoto w mwenzako sio wa kwako.
 
huyo mtu mzima bwana...ye mwenyewe anawezakuwa tayari anajua kuwa wanaume wagegedaji tuu....so anataka kugehedwa apate raha tuu

yeye lengo lake jamaa amuoe sio agegedwe tu aachwe.
 
Itabidi nikagegede tu den nisepe.
 
yeye lengo lake jamaa amuoe sio agegedwe tu aachwe.

unajua hapa wanawake ndio wanashindwa kuelewa...ukishazaa unapungiza chance yako ya kuolewa sanaa tuu....sasa inabidi walijue hilo...wanaume wenye akili zao timamu hatuwezi oa mwanamke ambaye alishazalisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…