Mazee kuna mademu wawili nimetokea kudate nao.
Mmoja hana shape ila ananipenda saaaana na kunijali sanaa tatizo lake ni mtu wa kuumwa kuumwa sana kila siku, anasumbuliwa na vidonda vya tumbo.Anaonekana Ni mama mzuri sana wa nyumbani kama nitaamua kumuoa
Huyu Mwingine ni mzuri ana shape na ananipenda pia ni mkali na nina kumbali balaa.Huyu anajua sana biashara jinsi ya kusaka noti Tatizo sio msiri,kila kitu anachokifanya anapenda sana kukiweka hadharani.Ila ni mzuri sana kwenye swala la ujasiriamali,inshort anajua sana kusaka noti
Wote wapo chini ya himaya yangu, sasa napata shida yupi niendele nae na yupi ni mpotezee?
Kwa maelezo yako huyo wa kwanza mkuu sio chaguo lako anasurvive kwasababu yeye ndio anafight for it otherwise ungeshamwaga. So nenda tu kwa hyo wa pili....
Sheria ya uwakala inasema "chochote unachoweza kufanya unaweza kufanya kupitia "agent" except actions that involve personal skills and qualifications ". Mahusiano ni ishu personal, fanya kikufaacho