Nimechoka humu mnadharau wanawake sipendi kama umeniona mzee kwani mimi napenda kuolewa na nyie vitoto mimi napenda kuolewa na watu walioenda umri
Yameisha jamaniii tusahauni yaliyopita now namuuliza anataka nini??Hukumuelewa Ila samahani naomba nimsaidie yeye alikuwa anampa mwenzake taaria kuwa katoto kazuri ni binti ilitokana na kuwa mwenzake aliwataja kuwa ninyi ni vidume,, ndo akamkanusha na kumpa taarifa kuwa wewe ni binti na mwisho akanogesha Kwa kumuita Mzee baba huyo mpewa taarifa Ila kwakuwa aliunganisha ndiyo ukaona kama kakuita binti Mzee,, hivyo ndivyo ilikuwa maana yake hakuwa na lengo la kukuchafua,, samehe saba Mara sabini
Mkuu futa kauli zako, mwache mdada wa watu, kwa hatua aliyofikia abaonekana amepanick, hafi kunidharau na kuniita kitoto, wakati hajui hata umri wangu. Futa post yako kumhusu katoto kazuri. Pliiz [emoji120][emoji120][emoji120]
Cc: troublemaker
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Usije tu ukampenda Khantwe...kwsbb ntakupenda namimi..!
Hatakaye kufaa
Kwa sababu anaweza kujikuta anapotezwa kwenye uso wa dunia.Kwanini at his own risk?
Hiyo avatar inaogopesha mamaUtaja penda mama zako king!!! Hata hivyo una mioyo mingapi mbona wengi hivyo!!
Kwa sababu anaweza kujikuta anapotezwa kwenye uso wa dunia.
Nilikuwa najaribia ngoja nibadilisheHiyo avatar inaogopesha mama
Fanya hivyo baby mamaNilikuwa najaribia ngoja nibadilishe
Sitaki upendwe na mafisi/wakware wa humu babyNani wa kumpoteza tena!! Acha nipendwe jamani we si hutaki kunipenda
Bundle kaka anguMzigua dada yangu simuoni nowadays
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Ndio top hapo namwelewa sana yule bidada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine wake za watu mkuu..Kuwa makini
Kuna haja ya kuaga mida hii au nilale tu kimya kimya?Nipende mimi mkuu hakika hutajutia..