Wanaume wanaopatikana humu ndio hao hao unakutana nao huko mtaani kwako, usitafute wa kukupenda bali unayempenda wewe, upendo ni gharama na ili ufanikiwe lazima ukubali kubeba hizo gharama, sasa wewe unataka kupenda ila gharama za upendo unataka azibebe unayempenda ushasikia wapi ikafanya kazi hii? Upendo ni gharama weka hilo kichwani mwakoNishaurini nimpende nani???
Maana mie sina wakumpenda .kiukweli sijui wakumpenda maana nikimpata mtu ukawa serious naye huyo sijui anakuwa haeleweki.
Situngi ,walA situngiwi nasiact really. Miaka nenda miaka rudi sijui naelekea wapi maana ukiwa serious yeye hayupo serious akiwa serious nawewe haupo serious kwa sababu umeshampata mwingine ambaye hayupo serious.
Kingine unakuwa single maana hujielewi ?? Na hueleweki.
Mtu mchumba wako anamnunulia mke wa mtu mahitaji yote na anakuambia mie sina hela kweli. Ila kisa haupo karibu ya huyo mtu anamilikiwa nawake za watu. Dah siunajiweka kati .
Humu kwa wanaume ni ndoto, kabisaaaa ndoto za mchana humu hakuna mwanaume yule ambaye yupo serious kuoa. Wengi wameoa. Wewe ukija na bando lako ni sawa una poteza muda kwanza haji wa ndoto zako wanatokea wandoto za wengineDah huku inahitaji moyo .
Saivi ni bora uhamie Uganda au pengine ubadilishe hali ya hewa.
Ataniaibisha December huyo!Mpaji Mungu hebu fanya jambo. Chukua chombo hicho. Kila siku analalama.
Ila nawe ni bahili balaa. MB 28 tu unasema zitamaliza bundle. Maua anakula kg 3 za nguruwe.
😀 Hana D mbili angesha mngamuaWewe humjui Maua?
Hakuna kuna mtu kasema humu unaweza pata mwenzi wa maisha ila ni uongoSweetyCandy ni nani huyo uliyemtaka humu akakukataa?
Hizi hasira zako na wanaume wa humu ni kubwa😂
Sijui nampenda nani na uzee huuPole
Gharama kwa hilo naomba unielewesheWanaume wanaopatikana humu ndio hao hao unakutana nao huko mtaani kwako, usitafute wa kukupenda bali unayempenda wewe, upendo ni gharama na ili ufanikiwe lazima ukubali kubeba hizo gharama, sasa wewe unataka kupenda ila gharama za upendo unataka azibebe unayempenda ushasikia wapi ikafanya kazi hii? Upendo ni gharama weka hilo kichwani mwako
Wewe badala ya kunipa ushauri unapita kwelikumekuchaaaa
Aisee hii kali umenitusi kama wewe malaika mie sina shida kihivyooo hadi uniseme vibaya hivyoo kwanza wewe mwenyewe huna hadhi na mimi umelegea kila mahali huna nguvu za kiume hela huna,hujielewi unataka nini akili ya maisha huna.Ataniaibisha December huyo!
Mnarudi wote home kusherekea mabraza wana wake zao wazuri mi npo na garasa langu😁😁Meku kua na huruma
Unaushauri mzuri true nitatafuta nitakupa mrejesho ila sio kazi rahisi hawapo seriousHow comes mwanamke asipate mwanaume wa kuishi naye. Hivi unashindwa kuanziasha urafiki na boy yoyote then msomane kwa kipindi Fulani then mkazama into serious relationship? Nimejifunza kitu kizuri kinaanza kwa kukitengeneza wewe mwenyewe achana na wanaume wa watu walio tengenezwa watakupa stress tu. Mwisho ukimpata muheshimu na mlinde kama ruba, mapungufu yake yabebe huku ukiendelea kumtengeneza. Pia mshirikishe Mungu kila hatua..... Kila la heri
wanawaweza achna bila kuchukua hata mwaka..For sure humu Kuna wanaume wazuri,smart
Wa ovyo piawapo
Kwa Mimi nina ushuhuda Kuna rafikyng anaona next month na bint wa humu humu mahusiano hayajuchukua hata mwaka
Sali sana my dear mapenzi ni ya walioshiba 😀😀
Wewe ndo hutakiwi kukata tamaa mapema coz wanawake mnavishawish vya kuweza mtengeneza mwaume umtakayeUnaushauri mzuri true nitatafuta nitakupa mrejesho ila sio kazi rahisi hawapo serious
Gono seriouslyUlponaga gono au nmekufananisha na cute wife
Eti Mpaji Mungu anasema mie geresa eti hawezi kunioa nani anamtaka yeye humu siningemwambia namtaka kazi ipoWewe ndo hutakiwi kukata tamaa mapema coz wanawake mnavishawish vya kuweza mtengeneza mwaume umtakaye
🤣🤣🤣wanawaweza achna bila kuchukua hata mwaka..
kataAAA NDOA
Sawa nitaanza leo rasmi kuwapenda je mtanioa??Anza sasa kupenda wazee wa busara kama mimi, utakuja kunishukuru. Achana na hao watoto wenzako wa miaka ya 2000 ambao vichwa vinawaka moto muda wote.