Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,980
- 3,577
Habarini wanajukwaa,
Achilia mbali ugumu wa maisha na kutafuta ajira kwa vijana pamoja na suala zima la kupambana katika shughuli za kuongeza kipato kuwa changoto.Tatizo jingine linalokua kwa mwendo kasi ni mahusiano yasiyoeleweka kwa watanzania vijana na wazee pia.
Siku hizi mapenzi/usaliti umekua jambo la kawaida sana katika maeneo mengi.
Pia vijana wa kike na wa kiume wamekua waoga wa kuoa na kuolewa.Imefikia wakati watu wanatumia njia za ajabu kupata wapenzi.
YALIOJIRI
Leo nimestajabu sana baada ya kumkuta dada mmoja umri kati ya miaka 21-24. alikua anamwagilia maua 3 nikapiga nae story akaniambia siri ya maua yake.Kwamba hayo maua 3 yanawakilisha wanaume 3 ambao yupo nao katika mahusiano lakini hajui aolewe na nani kati yao 3.
Hivyo huwa anayamwagilia maji Mara 3 kwa wiki na baada ya muda UA litakalostawi vizuri ndio mwanaume atakayekubali kuolewa naye.
tukio hili limenifanya nijiulize maswali mengi bila kupata majibu. Naanza kuelewewa maana ya msemo nyani mzee kakwepa mishale mingi.
Nasikia ndugu zetu wa Kenya ni waaminifu sana kwenye hii mambo ya kuchikuchi sijui ni kweli