Nimpe laki moja kama nampenda!

Tutamsaidiaje wakati yeye mwenyewe kahitimiasha kwakusema hayuko tayari kumwacha?
Hajachoka akichoka atapata jibu!!

Mademu wa namna hiyo wapo! Yan unaweza ukamkimbia adai utadhani we ni TRA!!

ndugu mi nashauri huyo jamaa yako km c wewe aangalie kwanza mfuko wake then achunguze malengo ya uyo dada coz unasema anauwezo labda anampima km jamaa sio mbaili. "km unampenda utamlinda" laki si pesa

Mie wanaume wananiuzigi wanavojidaigi kusema wanawake wanapenda pesa kwn kuna mtu hapendi pesa umu?anyooshe kidole basi..kha!ss unataka utumieee tuuu iende mileage kitu afu kutoa huduma ajisoapsopa msichana unasema golddiger wanaume wengne wanaboa kweli yn ishakua defensive mechanism eti anapenda pesa,mwanamke ni ua babu lzm ulihudimie lipendeze ulivomuona ulimkuta kapendeza ukamtamani..ss she has to maintain that!wanawake wanapenda helaa wanawake wanapenda hela imekua wimbo sijui nani anachukia izo hela

Mwacheni jamaa aendelee na project nadhan that dada anapima kama jamaa yake anaweza chukua maamuzi magumu. So far anampa ujumbe mapema kuwa kama anamtaka ni lazima ajipange ili wasije boana mbele. Na naona mtihani unaanza kuleta majibu kwakuwa huyo jamaa atasepa muda si mrefu. Kwa ufupi huyo sio size yake. Wapo wanaume wanaowaweza hao wanawamwagia hela kamanini. Heri kumjua mtu tabia mapema ukafanya maamuzi sahihi. Huyo jamaa atafute wapo mabinti wazuri tu na kwa hiyo laki anaweza tumia mwezi ila ndo hivo asahau sifa.

Mie wanaume wananiuzigi wanavojidaigi kusema wanawake wanapenda pesa kwn kuna mtu hapendi pesa umu?anyooshe kidole basi..kha!ss unataka utumieee tuuu iende mileage kitu afu kutoa huduma ajisoapsopa msichana unasema golddiger wanaume wengne wanaboa kweli yn ishakua defensive mechanism eti anapenda pesa,mwanamke ni ua babu lzm ulihudimie lipendeze ulivomuona ulimkuta kapendeza ukamtamani..ss she has to maintain that!wanawake wanapenda helaa wanawake wanapenda hela imekua wimbo sijui nani anachukia izo hela
Kweli kabisa ukitaka kuserve hela wapo hata wa book. lazima tuwe wazi kila mtu duniani anathamani yake japo tungependa sana wote tuwe hadhi moja. Unampenda mwanamke anagari wewe watembea kwa miguu ukiambiwa weka basi japo mafuta walalama. hoo mapenzi ya kweli yapi hayo ya wewe kuhudumiwa tu? Shuka chini pata wa hadhi yako. ndo maana kuna wanawake wanalipwa na makampuni kwa uzuri wao tu.

Mie wanaume wananiuzigi wanavojidaigi kusema wanawake wanapenda pesa kwn kuna mtu hapendi pesa umu?anyooshe kidole basi..kha!ss unataka utumieee tuuu iende mileage kitu afu kutoa huduma ajisoapsopa msichana unasema golddiger wanaume wengne wanaboa kweli yn ishakua defensive mechanism eti anapenda pesa,mwanamke ni ua babu lzm ulihudimie lipendeze ulivomuona ulimkuta kapendeza ukamtamani..ss she has to maintain that!wanawake wanapenda helaa wanawake wanapenda hela imekua wimbo sijui nani anachukia izo hela

Mwanaume ukimpenda mwanamke kikweli utamhudumia kulingana na uwezo wako. Mwanamke kuomba kwa mpenzi wake sioni tatizo kabisa. Kwani mwanamke anapoamua kuniomba hela,salio, au chochote ana uhakika kuwa ninampenda. Mimi napenda sana mpenzi wangu awe huru kunieleza shida yake na ninafurahi kumsaidia. Lakini kama sina hela naweza kumwambia nikitumaini kuwa atanielewa na atakuwa na subira. Ni udhaifu mkubwa kwa sisi wanaume kumpa hela mpenzi wako huku ukinung'unika moyoni. Kama huna hela kwa nini usimwambie? Kama kweli anakupenda si atakuelewa? Kwenye mapenzi ya kweli hata mwanaume akichacha kama mpenzi wake ana pesa anaweza kumpa. Kwa hiyo hapa hakuna suala wanawake wanapenda pesa mbona hata wanaume wanaomba pesa kwa wanawake? Wengine hutongoza wanawake wenye pesa ili wawatunze. Mimi sikatai kuwa kuna wanawake wenye kuomba kupita kiasi lakini hata wanaume wapo! Ukigundua mpenzi wako amekaa kibiashara zaidi,piga chini chapa mwendo!

Kweli kabisa kama huna sema, sio unatoa kwa shingo upande na kulalamika ovyo,mtu ukiwa muwazi raha sana, kumsaidia mpenzi wako sio shida hasa kama unao uwezo, kama huna sema tu nina imani atakuelewa

Mie wanaume wananiuzigi wanavojidaigi kusema wanawake wanapenda pesa kwn kuna mtu hapendi pesa umu?anyooshe kidole basi..kha!ss unataka utumieee tuuu iende mileage kitu afu kutoa huduma ajisoapsopa msichana unasema golddiger wanaume wengne wanaboa kweli yn ishakua defensive mechanism eti anapenda pesa,mwanamke ni ua babu lzm ulihudimie lipendeze ulivomuona ulimkuta kapendeza ukamtamani..ss she has to maintain that!wanawake wanapenda helaa wanawake wanapenda hela imekua wimbo sijui nani anachukia izo hela
Kweli bibie, mwanamke kuhudumiwa mwenzangu inaleta raha

ukiwa nazo laki si kitu.je anampa hizo laki ili baadae amchome au anampa laki kwa nia ip?kama yeye ndo alimnunulia hayo magari basi kumpa hela ya mafuta ni wajibu wake.kuna mawili;
labda demu ameona mvulana hana kingine cha kumpa zaidi ya hela au jamaa inawezekana analipa fadhila.mia

habari ni njema huyo amenogewa na hawezi kuacha kamwe kwani amekueleza kila ki2 anachofanya na huyo dada kuna baadhi anaficha kukwambia acngeng'ang'ania yakimshinda atasepa laki c pesa

Million matumizi ha ha ha haaaaaaaaa!!!!

Analipa kwa kigezo kipi, mboana hasemi, kila pigo, kila tabasamu au kila mwitikio??? kanogewa huyo sivyo anakuzuga tu aonekane matawi ya juu akifikiria kuonekana unalipa laki kwa demu ni ubingwa kumbe usharobaro tu huo

Kuna wasichana ni kauzu haswa, mie napenda mtu mwenyewe ajue im in need ila kuombaomba kama yatima duh inataka moyo,ila kama anao uwezo kwa nini asimuhudumie huyo msichana? tena ni bora anaombwa mafuta tu ya gari,mi sioni shida huyo jamaa kumuhudumia. ukiona anampa mara kwa mara ujue uwezo anao, ondoa shaka, najua utakuwa ni wewe mwenyewe, kwani vipi bwanshehe, unajua angekuwa anaona mzigo angesha mwacha kitambo

Mada ilioulizwa...na hili jibu imenibidi n'cheke . Hayo ndio husema inakua stress sana kwenye mapenzi ...kwanini inakua hivyo? Hata biashara kuna utulivu zaidi.

Tutamsaidiaje wakati yeye mwenyewe kahitimiasha kwakusema hayuko tayari kumwacha?

Hajachoka akichoka atapata jibu!!

Mademu wa namna hiyo wapo! Yan unaweza ukamkimbia adai utadhani we ni TRA!!

Nmemuuliza vzur tena kwa upole...eti demu huyo ni wale wanachanganya lugha ya kidhungu na kabila lao!
Huyo demu mara nyingine amekua akimpangia muda wa kuonana nae. Sasa jamaa yangu nashindwa kumwelewa kipi kinachomgandisha?

mwambie ampe tu hiyo laki,halafu kila mara akishampa nae aombe faragha usiku kucha then aseti alam iwe inamuamsha kila baada ya nusu saa aombe kamchezo..........

Kama yeye mwenyewe anadiriki kusema kuwa hataki kumuacha. Ushauri wangu ni kwamba aendelee kumpa hizo laki 1 na ikiwezekana ampe hata milioni!

MI BADO NAPATA KIGUGUMIZI KUWA NINI NAFASI HASA YA PESA KTK MAHUSIANO YA
- wale wanaopendana na
- wale wasiopendana

maaana wote watadai pesa iwe nying au chache, ila kujua hiyo unayoombwa ni kama mzinga au vp ndo ishu!

"UTAFITI ULIOFANYIKA TOKA MWAKA 20O5 HADI SASA UMEONESHA 85% YA WANAWAKE TZ WAISHIO MIJINI HUWACHUNA WANAUME "

Back
Top Bottom