Entreprenegro JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 601 Reaction score 132 Aug 8, 2013 #21 mwambie awakubalie ili aepushe kusumbuliwa..
Asnam JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 4,256 Reaction score 2,949 Aug 8, 2013 #22 duh mbona zamani alikuwa hasemi?ameshaanza shirika la ugawaji utamu si bure.
M Marnah JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 1,124 Reaction score 303 Aug 8, 2013 #23 Duh,,....pole yako
L lil grray Member Joined Aug 7, 2013 Posts 8 Reaction score 1 Aug 8, 2013 #24 Je, aliolala nao kesha kwambia? mwongo huyo hana lolote huenda anajitongozesha kwa wanaume na hana soko, asikupe presha mshamba
Je, aliolala nao kesha kwambia? mwongo huyo hana lolote huenda anajitongozesha kwa wanaume na hana soko, asikupe presha mshamba
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,126 Aug 8, 2013 #25 Mpenzi wako wewe majibu tutoe sie..majanga................
Zorrander JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 438 Reaction score 233 Aug 8, 2013 #26 Kind said: Nashukuru kwa mawazo yenu maana nipo nae mbali kwa sasa. Na hayo anayosema ndio napatwa wasiwasi. Click to expand... Aisee yani hapa ndo nimechoka kabisa. Kumbe tena wanamsumbulia huko mbali!!!! Hata saa hz inawezekana tu anasumbuliwa huko.
Kind said: Nashukuru kwa mawazo yenu maana nipo nae mbali kwa sasa. Na hayo anayosema ndio napatwa wasiwasi. Click to expand... Aisee yani hapa ndo nimechoka kabisa. Kumbe tena wanamsumbulia huko mbali!!!! Hata saa hz inawezekana tu anasumbuliwa huko.
Sanoyet JF-Expert Member Joined Apr 3, 2013 Posts 1,323 Reaction score 295 Aug 8, 2013 #27 Mwambie awakubalie tu wamut--m--be
M Muteyan Senior Member Joined Jul 8, 2013 Posts 131 Reaction score 43 Aug 9, 2013 #28 Kanigini said: Mwambie ni kwa sababu kakaa kutoa toa, ukiona watu wanakusumbua sana wana uhakika wa kupata. Either wameshasimuliana kwamba anapatikana, au mwonekano wake umekaa kupatikana patikana. Click to expand... Umeona ee, hiyo nayo sababu ya kusumbuliwa kweli,
Kanigini said: Mwambie ni kwa sababu kakaa kutoa toa, ukiona watu wanakusumbua sana wana uhakika wa kupata. Either wameshasimuliana kwamba anapatikana, au mwonekano wake umekaa kupatikana patikana. Click to expand... Umeona ee, hiyo nayo sababu ya kusumbuliwa kweli,
the american dream JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 1,754 Reaction score 837 Aug 9, 2013 #29 Bro hii ndo Jf,kama nakuona vile presha inavyopanda na kudrop unaposoma post za raia wema🙂