Shigha mvurundu!!! Kama unampenda binti na binti anakupenda msaidie kwa ajili ya bint sio kwa ajili ya mamaake pia ukimsaidia atajifunza kuwa usimdharau usie mjua Kama binti ana msimamo kwako fanya hisan ila usiwazie kulipwa jema kutoka kwa mama.
Wewe mwangalie mpenzi wako maana tabia Ni ngozi ila mama akiwa mtu mwerevu atajifunza kitu na atakuheshimu Sana