sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,488
Nimepanga kwake muda sasa kama mwaka wa pili, na ilitokea tu tukatamaniana, sasa umekuwa ndo mchezo wetu hasa kwakuwa yeye ni mjane.
Sasa imefikia mahali anataka tuwe tunaenda wote nje ya nchi huko Uganda na Kenya ambako hupendelea kufuata mizigo ya biashara zake.
Swali nalojiuliza nitamweleza mke wangu kuwa naenda kufanya nini huko Uganda na Kenya?
Nikifikiria kuhama ndo nitampa huyu maza nafasi nzuri maana nitahamia kabisa kwake sasa kwakuwa anajua mke wangu yupo nyumba nyingine.
Ushauri tafadhali nimkwepe vipi huyu maza kwakuwa tulitamaniana na sasa tumekolea?