Nimkubali huyu mwanamke au?

Hahaaaaaaaaaaaa,madogo wananifurahisha sana aisee
 
Kumbe kuna mapenzi ya kuandikiana barua bado? Bila shaka bado watoto nyie
 
Mapenzi ya barua matamu sana hapo ndo unajua muandiko wa mwenzi wako kama ni wabata utajua hapo.. mkuu huo si utoto..
 
Huu ndo ushauri Sasa mkuu popote ulipo kunywa juisi kola ntakuja kulipa..[emoji28]
Tayari nipo kwa mangi hapa, nmechukua juice cola ya unga tsh 200, ntaenda kuchanganya na maji home.
 
Safi sana angalia tu usije ukajikojolea kitandani mkojo wake unavyonukia ni kama unakuchamba..😅
 
Safi sana angalia tu usije ukajikojolea kitandani mkojo wake unavyonukia ni kama unakuchamba..[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mie sikojoi kitandan
 
Ntakufundisha usihofu hizo kazi wengine tulianza toka zamani Sana tumekubuhu.. najua hadi kukojoa mkojo ukahamia kwa jirani Kama umelalanae itaonekana ye ndo kajikojolea ipo namna ya kufanya..
 
Usinchekeshe mie nmekumbuka mdogo angu kakojoa had yupo std 6, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe umekaa nanguli kabisa halafu unajifanya hujui hizo shughuli.. mbona hicho ni kipaji mngemuendeleza..😅
 
Kumbe umekaa nanguli kabisa halafu unajifanya hujui hizo shughuli.. mbona hicho ni kipaji mngemuendeleza..[emoji28]
Wee thubutuuuh yaan unajua mzee alikua anampa mbata ila wapi, had alivopelekwa kwa bibi ndo akapona, alipewa dawa ya kienyeji.
 
Kaamua tu kuwastahi hakuna Cha dawa wala Nini..
Inaonekana we mkubwa wake nawe ulikuwa kiherehere unaenda kumsemelea..
 
Wala hata sio mie, maan mie nilifuatwa na twins, ndo akaja yeye, na sikuwah hata kumsemea achilia kulala Pa1.
So sikuwah pata adha yake hiyo.
 
Basi tufanye alirithi kwako sema we kipaji kilijificha ndani kwake kikachomoza nje..😜
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…