Nimjuavyo mshambuliaji wa Yanga 'Seiduu'

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Wasalaam

Kwa miaka takriban minne sijaonekana humu jf,nimerudi Tena Kwa kasi

Kichwa Cha habari kinajieleza.
Mwaka 2004 Kuna michuano iliyokuwa inaandaliwa na Kituo Cha yosso Cha Rollingston ya Arusha iliyomwibua Erasto Nyoni na wengine.
Moja ya timu shiriki no timu ya vijana wa Burundi

Katika timu Ile ukiachana na Rollingston yenyewe mchezaji wao hatari alikuwa Saidi Ntibazonkiza ama Seiduu na sio saido..
Sheigh amri abeid wanamjua na Ibrahim Maestro anamjua,alikuwa balaa,na alikuwa akiibuka mfungaji Bora...hiyo ni 2004 akiwa na kikosi Cha under 18.
Hoja yangu ni Kwa leo Seiduu Ana umri gani?
 
Kwa mujibu wa saido ana umri wa miaka 33

Tupige hesabu Sasa, Kama 2004 alikuwa na kikosi Cha U18, means that alikuwa na miaka 18 kushuka chini

Kutoka 2004 mpaka 2020, ni miaka 16, means kwa kuwa alikuwa na miaka U18 kipindi hicho Sasa atakuwa na miaka chini au 34

Hence: this logic is tautology (valid)
 
Umesema alikuwa anacheza na akina Erasto Nyoni ambaye ni beki wa kutegemewa Taifa Stars. Kungekuwa na mjadala mzuri kama ungeongelea umri wa akina Kagere, Onyango au Wawa ambao hata Nyoni huwaamkia shikakoo.
 
Kwa mujibu wa saido ana umri wa miaka 33

Tupige hesabu Sasa, Kama 2004 alikuwa na kikosi Cha U18, means that alikuwa na miaka 18 kushuka chini

Kutoka 2004 mpaka 2020, ni miaka 16, means kwa kuwa alikuwa na miaka U18 kipindi hicho Sasa atakuwa na miaka chini au 34

Hence: this logic is tautology (valid)
Well said.
 
Umri wa Seiduu ni sawa na idadi ya magoal atakayo score msimu huu.

Kama unataka kujua umri wake haya anza taratibu kuhesabu tunaanza leo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom