3 3lly da prophet Member Joined Feb 16, 2017 Posts 50 Reaction score 69 Sep 25, 2022 #81 Naam mkuu hujambo mimi naona temana naye dalili ya mvua ni mawingu before kaa utulie then ufanye quick asessment ukiona kwenye planning zako yupo out of stock cansel then plan well hawa kunguru hawatabiriki ili chuja kwanza
Naam mkuu hujambo mimi naona temana naye dalili ya mvua ni mawingu before kaa utulie then ufanye quick asessment ukiona kwenye planning zako yupo out of stock cansel then plan well hawa kunguru hawatabiriki ili chuja kwanza
Circuit Breaker Senior Member Joined Mar 31, 2021 Posts 158 Reaction score 350 Sep 25, 2022 #82 TheMnyonge said: Baada ya kuona sijamfuata wala sijatetereka anakuja kihivi...nataka kumwambia ili nimpokee aje na huyo alikwenda kuishi kwake siku zote hizi... Sitaki ujinga kabisa, bronken instanbul... View attachment 2365755 Click to expand... Kaza mkuu, paka aombe msamahaa, tena akitaka kurudi arudi with your own terms, misimamo uiweke ww
TheMnyonge said: Baada ya kuona sijamfuata wala sijatetereka anakuja kihivi...nataka kumwambia ili nimpokee aje na huyo alikwenda kuishi kwake siku zote hizi... Sitaki ujinga kabisa, bronken instanbul... View attachment 2365755 Click to expand... Kaza mkuu, paka aombe msamahaa, tena akitaka kurudi arudi with your own terms, misimamo uiweke ww
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,173 Reaction score 26,910 Sep 25, 2022 #83 Muwe munaangalia wa kuzaa nao. Sio mnaweka UTAMBI tu. Haya Sasa pambana na limzigo lako