TheMnyonge
JF-Expert Member
- Mar 25, 2022
- 738
- 1,899
- Thread starter
-
- #61
Huu utumwa sifanyi kabisaaaHivi mnafikiri sawasawa kabisa? Muondoke usiku na mtoto kwa sababu mwanamke ana wivu tena sio kuondoka ni mnaenda kutoa msaada kwa mgonjwa na mtoto?
Sijamfuata na sasa nipo zangu kazini naendelea kulijenga taifa letuUkimfata tu hiyo ndio itakuwa style na mfumo wenu wa kila litokeapo tatizo
Hahahaaaa, aisee kweli kuishi na nyie viumbe ni kazi sana!Nyie mnamuamini huyo alienda kwa jamaa yake?...wanaume ni waongo sana humu
Mwandike sms " Kwa kuwa hukutaka kunisikiliza ili ujue ukweli,sioni haja ya kukutafuta,maisha mema"Iko hivi, juzi alikuja mpnz wangu kuja kuishi, (tuna mtoto) baada ya kukaa kijijini kwa kipindi fulani nikaomba kwa wazazi wake aje tusaidiane baadhi ya mambo, (nataka kumsapoti kwa issues za kibiashara walau aweze kujipatia kipato, maana hatuijui kesho)
Sasa ameingia jijini kama siku 4 zilizopita, Jana majira ya saa tatu usiku nikapigiwa simu mke wa jamaa yangu kwamba jamaa ana hali mbaya mno, tunaweza kumpoteza kwa jinsi alivyo!
Nikamwambia mgeni wangu hiyo situation na kumuomba anisubiri nitarudi, akagoma "Hamna kwenda" nikajaribu kumuelewesha akagoma, kwa hisia kwamba aliyenipigia simu ni mwanamke hivyo hiyo habari ya rafiki yangu ni uzushi, nikaona isiwe tabu, nikaondoka!
Nimefika kwa jamaa nakuta hajitambui na anatoka povu mdomoni, (sijui alikula kitu gani) maana baada ya kufika hospital ikaonyesha amekula sumu, sijui aina gani huko, wamehangaika naye bahati nzuri akanusurika!
Mpaka majira ya saa kumi asubuhi ndo nimeingia home, nikakuta bibie amelala! Nikajipumzisha kidogo then nikaamka kwenda job.
Nikiwa job bibie akanitumia msg, ukirudi haunikuti, haiwezekani unaniacha ndani unakwenda kulala na mwanamke aliyekupigia simu!
Sikujibu, nimerudi home nakuta mabegi yake hayapo, na yeye anamalizia kumuandaa mtoto aondoke, nimejaribu kuongea naye lakini hajanielewa kabisa akaondoka zake!
Mida hii nimemuandikia kuwa alikuja jijini kwa ajili yangu,wazazi wake wanajua yupo na mimi hivyo namtaka nyumbani haraka, akanijibu kama namtaka nyumbani basi niende nikamfuate! Nikumuuliza yupo wapi ananiambia nimtafute mpaka nimpate...khaaaaaaa!
Nimeshikwa na hasira kweli kweli, nimfuate au nimpotezee tu, kinachoniuma ni kwamba yupo na mtoto mdogo, hivi wanawake wengine mkoje??? Huyu ananisumbua asubuhi hivi, ntawaza habari ya kumuoa kweli? Na hata nikifosi ndoa na mtu wa hivi, hiyo ndoa itadumu kweli???
View attachment 2361829
Me ndomaana nakupendaga hupindishagi maneno.Toa taarifa kwa wazazi wake na usilitafute tena hilo jinga...litarudi tu lenyewe.
Aww love you more..Me ndomaana nakupendaga hupindishagi maneno.
Thanks a lot.Aww love you more..
Nilipaswa kufanyaje?Hukufanya vyema kumuacha usiku mzima
Baada ya kuona hakuamini ungemwambia muende wote akajionee kisha angerudi nyumbani baadae. Inaweza kuwa ni kutojiamini sababu hamjakaa pamoja muda mrefu anaamini ulishakuwa na demu mjini. Mtafute ni mama wa mwanao..Iko hivi, juzi alikuja mpnz wangu kuja kuishi, (tuna mtoto) baada ya kukaa kijijini kwa kipindi fulani nikaomba kwa wazazi wake aje tusaidiane baadhi ya mambo, (nataka kumsapoti kwa issues za kibiashara walau aweze kujipatia kipato, maana hatuijui kesho)
Sasa ameingia jijini kama siku 4 zilizopita, Jana majira ya saa tatu usiku nikapigiwa simu mke wa jamaa yangu kwamba jamaa ana hali mbaya mno, tunaweza kumpoteza kwa jinsi alivyo!
Nikamwambia mgeni wangu hiyo situation na kumuomba anisubiri nitarudi, akagoma "Hamna kwenda" nikajaribu kumuelewesha akagoma, kwa hisia kwamba aliyenipigia simu ni mwanamke hivyo hiyo habari ya rafiki yangu ni uzushi, nikaona isiwe tabu, nikaondoka!
Nimefika kwa jamaa nakuta hajitambui na anatoka povu mdomoni, (sijui alikula kitu gani) maana baada ya kufika hospital ikaonyesha amekula sumu, sijui aina gani huko, wamehangaika naye bahati nzuri akanusurika!
Mpaka majira ya saa kumi asubuhi ndo nimeingia home, nikakuta bibie amelala! Nikajipumzisha kidogo then nikaamka kwenda job.
Nikiwa job bibie akanitumia msg, ukirudi haunikuti, haiwezekani unaniacha ndani unakwenda kulala na mwanamke aliyekupigia simu!
Sikujibu, nimerudi home nakuta mabegi yake hayapo, na yeye anamalizia kumuandaa mtoto aondoke, nimejaribu kuongea naye lakini hajanielewa kabisa akaondoka zake!
Mida hii nimemuandikia kuwa alikuja jijini kwa ajili yangu,wazazi wake wanajua yupo na mimi hivyo namtaka nyumbani haraka, akanijibu kama namtaka nyumbani basi niende nikamfuate! Nikumuuliza yupo wapi ananiambia nimtafute mpaka nimpate...khaaaaaaa!
Nimeshikwa na hasira kweli kweli, nimfuate au nimpotezee tu, kinachoniuma ni kwamba yupo na mtoto mdogo, hivi wanawake wengine mkoje??? Huyu ananisumbua asubuhi hivi, ntawaza habari ya kumuoa kweli? Na hata nikifosi ndoa na mtu wa hivi, hiyo ndoa itadumu kweli???
View attachment 2361829
Hiyo demokrasia kwangu haipo, yaani usiku nianze kusumbua mtoto wangu kwa sababu ya wivu tu?Baada ya kuona hakuamini ungemwambia muende wote akajionee kisha angerudi nyumbani baadae. Inaweza kuwa ni kutojiamini sababu hamjakaa pamoja muda mrefu anaamini ulishakuwa na demu mjini. Mtafute ni mama wa mwanao..
Nakuelewa mnoo, hapo nasubiri mtoto akue kue kwanza, then aniachie chata yangu tuMkuu
nyota njema huonekana asubuhi .. kama hauelewi huu msemo shauri yako mimi sina maneno mengi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Fuckup!! Hafai kuwa mke, atakuendesha kama gari bovu. Usikubali kupanda gari ya mkaa hiyoBaada ya kuona sijamfuata wala sijatetereka anakuja kihivi...nataka kumwambia ili nimpokee aje na huyo alikwenda kuishi kwake siku zote hizi...
Sitaki ujinga kabisa, bronken instanbul...
View attachment 2365755
Mtoto akue kue akiishi kwako????? UmeishaNakuelewa mnoo, hapo nasubiri mtoto akue kue kwanza, then aniachie chata yangu tu