Nimfuate au nikomae tu?

Ushauri wangu kwenye hii issue

Tufanye ingekuwa wewe mkeo kapigiwa simu kwenye mazingira kama hayo alafu arudi sa10 ungefanya nn?

Majibu utayopata yatakusaidia umfate au umpotezee.
 
Kama umejidhibitishia kachepuka muache ila kama sababu ni hiyo tu mbona simpo inavyoonesha huyo dem anakupenda sana kiasi anashindwa kudhibiti hisia zake bro ukimjua mwanamke hawezi kukusumbua sema nini tatizo lako una mfumo dume pasipo kujali hisia za mwenzako tufanyeje ww ndio dem mchiz kakuleta gheto mara mchizi ndio....... kila mmoja uwaza anachojua so heshim hisia za mwenzako Oya acha upuuzi hebu tumia uanaume mpeti huyo manzi utaacha wangapi ***** au we mgeni humu jf mpe maneno lain yemwenyewe atarudi,,.... ukiwajua wala usumbuki sema wanaume wengi hatuna uelewa tumekalia misemo ya kitaa
 
Piganie shemeji arudi, watu wanapitia magumu na wanakumbatia wake zao haijalishi wanamapungufu kiasi gani
 
Ili asije kurudia hiyo tabia inatakiwa umuwashie moto wa hatari na akueleze alikuwa analala wapi? Na kwa ruhusa ya nani? Na kwa nini ameondoka nyumbani? Hapo utakuwa umemjenga kiakili ili asije kukusumbua huko mbeleni na ikiwezekana washirikishe hadi wazazi wa pande zote. Hii itamfanya apunguze utoto,wivu wa kijinga na upumbavu alionayo.
 
Sasa hapo unaumiza kichwa kwa nini hebu endelea na mambo yako, cha msingi wataarifu wazazi wake yaliyojiri ili wajue hayupo kwako halafu mpotezee

Am telling you atarudi tu,ukimzoeza kumnyenyekea atakusumbua

Hata hivyo ni ukosefu wa adabu kuondoka kwako pasipo kusema unapoenda, kama alihisi umemkosea angeenda kwa wazazi au mtu ambae anajulikana na familia sasa hapo hata hujui yuko wapi

Hali ya ugonjwa na dharura kama hizo zinajulikana hakua na sababu ya kukasirika kiasi cha kuondoka nyumbani, alitakiwa akuamini na kukupa support

Mwisho wa siku wewe ni mwanaume and you should act as one
 
Mi naona we ndio mwenye makosa kwa maelezo yako inaonekana ulishindwa kujali na kudhibiti hisia za mwenzako ukatumia ubabe,kwa Nini usingemwambia tu kwamba Kama huamini Basi twende wote tuongozane ungepungukiwa Nini?ukarudi saa kumi daaa nahisi ulikokuwa hakukuwa halali
 
Sema nini mkuu, ulikosea maana huyo mwanamke ulivyomleta mjini lazima alikuwa anahisi unamtu wako huku so kitendo cha kum'ignore na kuondoka na kurudi alfajir lazima ajiongeze kuwa ulienda kulala na huyo aliekupgia simu.

Ulipaswa kumuambia muende wote kama hakuamini..

But all in all huyo mwanamke inaonyesha kuna watu/mtu alikuwa na mawasiliano nae zaid huku jijini kabla ya wewe kumleta, ila alikuwa anakosa njia yakufika so wewe umemfanikishia hilo ndio maana katafuta sababu yakuondoka fasta.

Toa taarifa kwa wazazi wake then mpotezee, atakutafuta mwenyewe.
 
Ndo maisha niliyoish full hofu mwisho wa siku kabeba vitu vyote vya ndani kasepa zake na mtoto.
 
Sioni swali hapa, kama wewe no mwanaume tuone uanaume wako, kama asubuhi unakunywa juisi je mchana utakunywa Chai akili kumkichwa.
 
Yaani nimwambie twende wote usiku na mtoto? Big noo! Siwezi kuwa demokratik kiasi hiki...
 
Ndo maisha niliyoish full hofu mwisho wa siku kabeba vitu vyote vya ndani kasepa zake na mtoto.
Pole bro! Hakuna kitu kigumu kama kuishi na mtu ili mradi tu usimkere. Na kwa binadamu hilo haliwezekani kuna muda tu utazingua ila ukizingua sasa mwenzako anatoa hukumu kana kwamba umefanya makusudi. Hata usipopokea simu on time kazi unayo kumridhisha kwa nini hukupokea.
 
Brother, don't be pussified to that level.

Iko hivi wewe ndio kichwa cha familia na usikubali kuendeshwa na kupangiwa wapi uende na wapi usiende.Hebu fikiria kama usingefika kwa rafiki yako alafu kesho yake unaambiwa kua alifariki ingekuaje?

Mwanamke ni kama mtoto akifanya kitu muadhibu, kama usipofanya hivyo ataendelea kufanya zaidi na siku utakapotaja kumuadhibu utajikuta upo katika tanuru la moto.

Kwa kusema hayo, we toa taarifa kwao na kuwaelezea mkasa mzima na usitake waanza kukushauri maana lazima watakua upande wa mtoto wao, pia usimfate wala kumtafuta na siku akirudi aje na counter book iliyojaa maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…