TheMnyonge
JF-Expert Member
- Mar 25, 2022
- 738
- 1,899
Piga chini fasta atakusumbua huyo mbele ya safari huko.Iko hivi, juzi alikuja mpnz wangu kuja kuishi, (tuna mtoto) baada ya kukaa kijijini kwa kipindi fulani nikaomba kwa wazazi wake aje tusaidiane baadhi ya mambo, (nataka kumsapoti kwa issues za kibiashara walau aweze kujipatia kipato, maana hatuijui kesho)
Sasa ameingia jijini kama siku 4 zilizopita, Jana majira ya saa tatu usiku nikapigiwa simu mke wa jamaa yangu kwamba jamaa ana hali mbaya mno, tunaweza kumpoteza kwa jinsi alivyo!
Nikamwambia mgeni wangu hiyo situation na kumuomba anisubiri nitarudi, akagoma "Hamna kwenda" nikajaribu kumuelewesha akagoma, kwa hisia kwamba aliyenipigia simu ni mwanamke hivyo hiyo habari ya rafiki yangu ni uzushi, nikaona isiwe tabu, nikaondoka!
Nimefika kwa jamaa nakuta hajitambui na anatoka povu mdomoni, (sijui alikula kitu gani) maana baada ya kufika hospital ikaonyesha amekula sumu, sijui aina gani huko, wamehangaika naye bahati nzuri akanusurika!
Mpaka majira ya saa kumi asubuhi ndo nimeingia home, nikakuta bibie amelala! Nikajipumzisha kidogo then nikaamka kwenda job.
Nikiwa job bibie akanitumia msg, ukirudi haunikuti, haiwezekani unaniacha ndani unakwenda kulala na mwanamke aliyekupigia simu!
Sikujibu, nimerudi home nakuta mabegi yake hayapo, na yeye anamalizia kumuandaa mtoto aondoke, nimejaribu kuongea naye lakini hajanielewa kabisa akaondoka zake!
Mida hii nimemuandikia kuwa alikuja jijini kwa ajili yangu,wazazi wake wanajua yupo na mimi hivyo namtaka nyumbani haraka, akanijibu kama namtaka nyumbani basi niende nikamfuate! Nikumuuliza yupo wapi ananiambia nimtafute mpaka nimpate...khaaaaaaa!
Nimeshikwa na hasira kweli kweli, nimfuate au nimpotezee tu, kinachoniuma ni kwamba yupo na mtoto mdogo, hivi wanawake wengine mkoje??? Huyu ananisumbua asubuhi hivi, ntawaza habari ya kumuoa kweli? Na hata nikifosi ndoa na mtu wa hivi, hiyo ndoa itadumu kweli???
View attachment 2361829
Sijawahi kumpiga tukio lolote, sema amekuwa kijijini kwa muda mrefu sasa sijui anahisi niniPole sana mkuu,kwann ameshindwa kukuamini kwa jambo dogo kama hili au huko nyuma ulishampiga tukio ndio maana uamimifu umekuwa mdogo?
Daah naona kabisa namimi natengeneza singo maza wakati haikuwa kusudio langu kabisaaPiga chini fasta atakusumbua huyo mbele ya safari huko.
HahahaaaaUnaandaliwa mazingira ya baba diamond na ommy dimpoz
Hata sisi hatujui uganyaje[emoji2][emoji2]
Una umri gani? Hakuna mwanamke hapo piga chini bila kujiuliza ulizaIko hivi, juzi alikuja mpnz wangu kuja kuishi, (tuna mtoto) baada ya kukaa kijijini kwa kipindi fulani nikaomba kwa wazazi wake aje tusaidiane baadhi ya mambo, (nataka kumsapoti kwa issues za kibiashara walau aweze kujipatia kipato, maana hatuijui kesho)
Sasa ameingia jijini kama siku 4 zilizopita, Jana majira ya saa tatu usiku nikapigiwa simu mke wa jamaa yangu kwamba jamaa ana hali mbaya mno, tunaweza kumpoteza kwa jinsi alivyo!
Nikamwambia mgeni wangu hiyo situation na kumuomba anisubiri nitarudi, akagoma "Hamna kwenda" nikajaribu kumuelewesha akagoma, kwa hisia kwamba aliyenipigia simu ni mwanamke hivyo hiyo habari ya rafiki yangu ni uzushi, nikaona isiwe tabu, nikaondoka!
Nimefika kwa jamaa nakuta hajitambui na anatoka povu mdomoni, (sijui alikula kitu gani) maana baada ya kufika hospital ikaonyesha amekula sumu, sijui aina gani huko, wamehangaika naye bahati nzuri akanusurika!
Mpaka majira ya saa kumi asubuhi ndo nimeingia home, nikakuta bibie amelala! Nikajipumzisha kidogo then nikaamka kwenda job.
Nikiwa job bibie akanitumia msg, ukirudi haunikuti, haiwezekani unaniacha ndani unakwenda kulala na mwanamke aliyekupigia simu!
Sikujibu, nimerudi home nakuta mabegi yake hayapo, na yeye anamalizia kumuandaa mtoto aondoke, nimejaribu kuongea naye lakini hajanielewa kabisa akaondoka zake!
Mida hii nimemuandikia kuwa alikuja jijini kwa ajili yangu,wazazi wake wanajua yupo na mimi hivyo namtaka nyumbani haraka, akanijibu kama namtaka nyumbani basi niende nikamfuate! Nikumuuliza yupo wapi ananiambia nimtafute mpaka nimpate...khaaaaaaa!
Nimeshikwa na hasira kweli kweli, nimfuate au nimpotezee tu, kinachoniuma ni kwamba yupo na mtoto mdogo, hivi wanawake wengine mkoje??? Huyu ananisumbua asubuhi hivi, ntawaza habari ya kumuoa kweli? Na hata nikifosi ndoa na mtu wa hivi, hiyo ndoa itadumu kweli???
View attachment 2361829
Duuuh, pole pia!Mkuuu hawa viumbe sijui wapoje mi langu tuna mtt mdogo Ila kila siku linatishia kuondoka nilikua nalihesabu kwenye plan zangu Ila nshadelete linasema eti mi n Kam sponser akipt kwa kwenda atasepa ..nyambafuuu kwa mijianake yote isiyojielewa
Nje ya mada: kama huo mguu ni wako umebarikiwa sana Darlin. Samahani kama utakuwa umekwazika.As long as hujamfukuza wewe piga kimya
Trust me atarudi mwenyewe…
Mambo madogo sana hayo mkuu