Nimfanyeje Mwanamke Huyu?

Nimfanyeje Mwanamke Huyu?

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,915
Reaction score
30,027
Huyu shemeji yako simuelewi kabisa, hali yangu kwa sasa sio nzuri, Keshokutwa tarehe 15 natakiwa nilipe School Fees za Watoto 1.5Mil, pia Mama Mgonjwa kijijini natakiwa nimtumie hela ya matibabu, haya yote anayajua, cha ajabu eti Jana karudi na simu mpya IPhone 6 kanunua 1mil, eti kaikuta rahisi akashindwa kujizuia na kuvumulia, nishauri nimfanyaje huyu mwanamke Ndugu yangu".

Hii ni whatsapp iliyoingia kutoka kwa rafiki yangu kipenzi mchana huu. Nimejaribu kujiuliza sipati majibu, msaada wenu please.
 
Kwa kuwa hela ni yake, na hekima yake ilimuonesha hiko anachofanya ni bora zaidi, na tayari ameshanunua,

Mwambie tu ''Simu nzuri sana hio mke wangu, Hongera''. Wewe endelea kupambana. Wewe ni mwanaume kukata tamaa kuliisha siku ulioita mama. Ukimlaumu utakua unakosea.

Ila kama hela ni yako halafu kaichukua tu bila idhini yako, Mnapaswa kuzungumza.

Ooopss!! kumbe sio wewe Shark, mwambie huyo jamaa yako mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Shemeji yangu anafanya kazi na yeye. Mshikaji kweli hayuko OK financially this time maana hata hiyo Ada nimemsaidia kuipunguza. Na hata ukikutana nae kidogo kapoa hivi.

Ila sasa Shem hata kama Mwanaume ndio Head of the Family sio kihivyo, Wanawake wa siku hizi wabinafsi sana. Sio lazima mwanaume ampigie magoti ndio ampe, angekua muungwana tu!!

Nikiandika hapa zaidi, ndio chuki dhidi ya shemeji yangu huyu inavyozidi kuongezeka!!
 
Last edited by a moderator:
Huna cha kumfanya chochote, Ulitaka akuombe ruhusa?? Ulimwambia kua umekwama kifedha? Au ulizani tu kua anajua umekwama sababu mnalala na kuamka wote?
 
Kwa msingi huo its very unfortunate.

Pia inategemea na mazoea yao labda.. huenda jamaa anasemaga hivyo lakini baadae anatatua tatizo kivyake vyake.. ikitokea nara mbili tatu.. wakati mwingine ikajirudia na ni kweli jamaa amekwama.. mke anaweza fikiria mara zote jamaa amekua akisema hana hela ila mambo yanakwenda.. labda anajisemea hivyo ili nisimuombe hela etc... ndio maana anaweza akawa na ujasiri wa kununua simu then akaja kifua wazi kujisemea kwa mumewe.

Ila kama wako wawazi kwa kila. Na jamaa kweli amemshirikisha mkewe juu ya huo upungufu ambao mkewe angeweza kusaidia then akachagua simu... basi ana shida ya msingi kichwani.

Shemeji yangu anafanya kazi na yeye. Mshikaji kweli hayuko OK financially this time maana hata hiyo Ada nimemsaidia kuipunguza. Na hata ukikutana nae kidogo kapoa hivi.

Ila sasa Shem hata kama Mwanaume ndio Head of the Family sio kihivyo, Wanawake wa siku hizi wabinafsi sana. Sio lazima mwanaume ampigie magoti ndio ampe, angekua muungwana tu!!

Nikiandika hapa zaidi, ndio chuki dhidi ya shemeji yangu huyu inavyozidi kuongezeka!!
 
"Mkuu,

Huyu shemeji yako simuelewi kabisa, hali yangu kwa sasa sio nzuri,
Keshokutwa tarehe 15 natakiwa nilipe School Fees za Watoto 1.5Mil, pia
Mama Mgonjwa kijijini natakiwa nimtumie hela ya matibabu, haya yote
anayajua, cha ajabu eti Jana karudi na simu mpya IPhone 6 kanunua 1mil,
eti kaikuta rahisi akashindwa kujizuia na kuvumulia, nishauri nimfanyaje
huyu mwanamke Ndugu yangu"

Hii ni whatsapp iliyoingia kutoka kwa rafiki yangu kipenzi mchana huu.
Nimejaribu kujiuliza sipati majibu, msaada wenu please!!

naskiaga ndoa ndoano pole. ampe ongera afu piga kimya ya wiki
 
watoto ni wake pia au ni wa mume peke yake. if thats the case afanye yafuatayo.:
1. achunguze kama kuna mume mwingine pembeni
2.atambue kuwa mke alie nae si msaada, asonge mbele atafute vyanzo alipe ada.
3. amweleze umuhimu wa simu chini ya umuhimu wa ada za watoto.
4. ajirekebishe kuhusu mgawanyo wa hela wanavoufanya hapo nyimbani kama mke ana kazi. kama hana kazi yeye kakosea kumpa hela
 
My strong feeling ni kwamba kanunuliwa.....sasa angesemaje kwa jamaa....
Hisia tu....
 
My strong feeling ni kwamba kanunuliwa.....sasa angesemaje kwa jamaa....
Hisia tu....

hayo ndo yale yale ya wema eti kanunuliwa BMW na meneja akat hyo meneja anaendesha VITZ
 
mkuu hata kama ndo hivyo ina maana ndo kila kitu juu yangu

kumbe niwewe. ila saa nyingine wanaume jueni siri " mwanaume mkeo au girl wako akijua unachepuka tu kumpa hela yoyote mkononi ni ndoto.
 
Alichokifanya ''SHEM'' ni dalili tu ya jambo lililojificha, mwambie atulie na achunguze kwa makini atapata jibu. Nimesema hivyo kwa sababu kwa asili mwanawake hasa akiwa kwenye NDOA hujitahidi kadri awezavyo kwa kufanya mambo yenye kumuepusha mumewe na aibu na fedheha.
Ukiona hilo halifanyiki basi jiongeze.
 
Japo sio vizuri kwa mke kufanya hivyo lakini pia labda keshamwambia mwanaume kuwa amnunulie hiyo simu akapiga kimya.
 
Ni ushindi tosha kuzaliwa mwanaume hata kama huna pesa.... PAMBANA MWANAUME USHINDE
 
Back
Top Bottom