Nimfanyeje mwanamke huyu?


Kweli kabisa...
 
Tatizo la maboya nyie, hata muambiweje ... utasoma mi-ushauri yotehapa then bofore u sleep utampigia tena na kuanza tena mapenz
 
kha huyo dada noma...yaani kaendagegeddwa kwenye threesome...balaaa!!!

dah pole sana wangu ila huu ntindo wa wanaume kusomesha haungii akilini kusema kweli. imekula kwako hiyo mwana.

najua watu wengi huwa wanashindwa kukuelewa mara nyingi sana but ukweli i like your brain.
ni wachache sana ambao wataona nilichokiona kwenye haya maneno yako nimejifunza kitu.
i wish nikuletee Klein wangu umfunze akili ya maisha
 
Wewe ni kitumbua sana ume enda kusomesha wakati kuna wanawake walisasomeshwa na wazazi wao.
 
Cha kufanya mdanganye aje akupe bao la mwisho nunua condom aina trajon na then akija umle tigo after that mwambie achape lapa mfukuze kama mbwa koko otherwise utakuna kufa kabla ya muda wako.
 
usijiongoze kwa ubinadamu bali ujiongoze kwamtumia Mungu zaidi.....
 

jamani kuna watu wanabahati lakini wanazichezea.yani ningeipata mm iyo.....ila tatizo upere unawapata wasiojua kujikuna.kuna watu tunazitafuta bahati kama izo usiku na mchana lakini hatuzipati.
 
najua watu wengi huwa wanashindwa kukuelewa mara nyingi sana but ukweli i like your brain.
ni wachache sana ambao wataona nilichokiona kwenye haya maneno yako nimejifunza kitu.
i wish nikuletee Klein wangu umfunze akili ya maisha

asante besty kwa kuyaona hayo wasiyo yaona wenzio....wee mlete dogo tumpe wisdom hapa
 
umeliwa kekundu! na ata km ukimuoa bado atakusumbua tu,so achana nae
 
Bado unamwita yule jamaa aliyekimbia kwamba hakuwa na msimamo kimaisha?na yeye alikuwa na jinsia ya kiume hivyo hivyo kama wewe.tofauti yenu ni kwamba yeye aliona mbali, na huenda hata mtoto hakuwa wake.Hebu fanya maamuzi haraka, acha kuutesa moyo.Mpaka muda huu bado unaamini kwamba mtaoana?mwenzio alikuwa anatafuta mtu wa kumsaidia kulea mtoto wake, na hatimaye alikupata, ila kwa sasa ameanza kujitegemea, na hakuhitaji tena.
Halafu kwanini mkiachwa mnapenda kutaja gharama mlizotumia kwa wapenzi wenu?Najua na wewe ulikuwa unaburudika wakati hela inakutoka.kwa hiyo hapa hakuna aliyepata hasara.Ni sawa sawa na kwenda kwa changudoa ukamlipa na akakupa hicho ulicholipia.Fanya maamuzi sasa.
 
Ningepata mvumilivu kama ww, loh. piga chini huyo hakuna mjadala.
Deepa msaidie huyu.Ila ujue ana mahesabu kinoma, ukimsaliti tu, anakuonyesha bajeti yote aliyokugharamia.
 
Last edited by a moderator:
najua watu wengi huwa wanashindwa kukuelewa mara nyingi sana but ukweli i like your brain.
ni wachache sana ambao wataona nilichokiona kwenye haya maneno yako nimejifunza kitu.
i wish nikuletee Klein wangu umfunze akili ya maisha
Mpeleke Klein kwa GateCrasher, ni mwalimu mzuri na mvumilivu kama huyu mlalamikaji.
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu. There is a day atakumbuka upuuzi wote aliokufanyia.
Huyu dada mzoefu, hawezi kukumbuka.Hapa anasubiri amalize kusomeshwa degree amkimbie huyu sponsor wa degree, aende akaanze kuiba mume wa mtu. "Waume za watu jiandaeni kupokea kijiti hapa".
 
wewe kweli nimeamini ni Mwanaweja
 
Last edited by a moderator:
Dah kumbe wanaume ma gentlemen bado wapo duniani! Mi nilidhani walishaondoka na zama za analogia. Mweeh! I wish to get one like you. Mi sihitaji kusomeshwa wala hela ya wanja ila commitment na upendo wa kweli! Anyway, kila mtu na bahati yake bana. wanasemaga penye miti hamna wajenzi. Sijui ni kweli!!!!!!!!!!:thinking:



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…