Nimfanyeje mtu huyu afunguke akili?

Mimi pia nikimpata namchuna mpaka pesa zake ziishe halafu namtema, natakia nini kuishi na mlemavu ambaye hakumthamini partner wake ambaye amesota nae kwenye shida.

Siku zote nasema wanaume si wakuonea huruma.
 
mie nakubaliana na huyo mlemavu. kweli anachosema kuwa yule demu aliyezaa nae sio choice yake ingawa demu ana mapenzi ya dhati. alikuwa nae kwa wakati ule becoz thats the type of women he culd get at the tym bana...so kupoza kiu ya mwili tho alikosea kumpa mimba.
huyu alijua wat type of lady she wants na sasa ndio kampata so clearly wacha atafute. wewe unaweza muona **** lakini kila mtu ana tbat picture of a lady they wuld hav as a wife....so let the man have his choice becoz its wat he always wanted but culd not attaon wen he was with no cash......
 
Rafiki yangu ni mlemavu wa viungo. Kuna kipindi alikuwa vibaya kiuchumi, and that time wadada wengi walikuwa wanamkataa alipowatongoza. Mungu mkubwa akatokea mdada ambae alimpenda sana pamoja na kuwa mlemavu na hana hali nzuri kifedha. Pitapita mdada kapata mimba na wakati ana mimba jamaa mazali ya pesa yakamuuangukia. Kifupi life ikabadilika. Yule dada alikuwa wa kawaida sana (sio mrembo sanaaa au dada du) na elimu yanke ni form four ila ni mdada wa heshima.

Sasa ivi jamaa kifedha yuko poa, mademu kitaa wote wanamtaka, sasa yeye anadai yule dada sio chaguo lake (alozaa nae), kampata ambae ni chaguo lake. Hataki kuishi na yule mdada na mtoto tena, na kapata dada du mmoja tena msomi (ana Masters) na ni mzuri sana kwa kweli kiasi kwamba ye mwenyewe hana amani kabisa. Bro wangu kasoma na uyo demu, anasema bonge la kicheche.

Kwa mtazamo wangu nilimshauri asiachane na yule alozaa nae coz nadhani ndo mwenye mapenzi ya dhati kwake. Yeye anadai sio chaguo lake na ana imani anaweza kupata mke mwingine msomi (kama aliyenae) na wakaishi happily. Nifanyaje nimnusuru jamaa na ili zigo analotaka kulibeba?

Ndugu yangu Walimwekundu;

Wasukuma huwa wana msemo unasema hivi, "OGUNA MBULI, OGUNA NA BUMELA", ambapo tafsitri yake sahihi neno kwa neno siwezi kuielezea kwa kiswahili kwa sababu "BUMELA", kiswahili chake sikijui, ila naweza kutoa maelezo ya ufafanuzi wa hiyo sentensi kama ifuatavyo.

Popote pale, watu wakitaka kutengeneza pombe ya kienyeji huwa wanachukua aina yoyote ile ya nafaka (mtama, ngano, mahindi, n.k.) kutegemea na pombe wanayotaka kutengeneza, halafu wanailoweka kwenye maji hadi inaanza kuwa kama inataka kuota, yaani kile kiini cha nafaka kinatokeza nje. Baadaye wanaitoa kwenye maji wanakwenda kuanika kwenye jua,... hadi kwenye stage, nafaka hii husika inakuwa siyo mtama tena au mahindi kwa jina bali inakuwa BUMELA.

Bumela una tendency ya kupendwa sana kuliwa na Mbuzi (MBULI), hivyo ukiuanika kwenye jua, ukae macho mia la sivyo utaambulia holaaa! Sasa huo msemo unamaanisha kuwa "unatetea MBUZI,(kwa maana ya kwamba mbuzi ana haki ya kuula BUMELA ukiwa umeanikwa sababu ni mtamu mno kwake), lakini wakati mwingine "unatetea na BUMELA pia" (kwa maana ya kwamba, pamoja na kwamba BUMELA ni mtamu mno kwa mbuzi, haujatengenezwa kwa makusudi ya kuliwa na mbuzi hivyo mbuzi hana haki ya kuula). Kwa kifupi sentensi inasema "unatetea MBUZI, unatetea na BUMELA"

Nikirudi kwenye stori ya huyo jamaa yako.
Hawa ndugu zetu mpaka sasa hivi ni subjects of interest sana kwenye jamii yetu sababu haki zao nyingi za msingi zinakiukwa, na hivyo watu wengi wako macho sana kuhakikisha kwamba angalau jamii inawaweka kwenye mstari ule unaostahili ili kuhakikisha kwamba hawagandamizwi kwa namna yoyoye ile.

Lakini sasa tukirudi kwa upande mwingine, baadhi ya hawa ndugu zetu walemavu akishakuwa kwenye standard ya juu kidogo au sawa na ya walio wengi aliokuwa anadhani kuwa wako vizuri, wanakuwa na matatizo kiasi cha ku-overdo vitu kwa namna ambayo kama angekuwa mtu mwingine wa kawaida mwenye viungo timilifu kwenye nafasi ya huyo mlemavu, asingeweza kufanya hivyo. Point yangu ni kwamba hawa jamaa tunawatetea sana kuweza kuwaweka sawa, lakini inabidi pia tuwamulike kwa upande mwingine kwa sababu wao pia wana uwezo mkubwa tu wa kutunyanyasanyasa sisi tulio na viungo timilifu. Isionekane kwamba sababu wao ni rahisi kunyanyasika, basi wao hawawezi kunyanyasa wengine. Hii itakuwa ni mis-interprtation.

Naweza kukupa mfano Kenya sasa hivi mambo siyo shwari sababu ya mis-interpretation ya mkutano wa Beijing 1996. Wanaume wanachapwa vibao na wake zao mpaka choka mbaya hadi wamegoma kula chakula majumbani kwao wiki hii nzima, wanakula hotelini, kitu ambacho sioni kama ni solution sababu Serengeti Boys (mke anayeweza kumpiga mme wako hawezi kukosa serengeti boys angalau moja, kwa sababu hata hofu ya mmewe haipo) lazima zipo zitakula chakula hicho na mambo mengine kwa saana tu halafu zinamalizia na maji ya kuoga. Wanawake wa Kenya wame-overdo kiasi sasa inapelekea kuunda taasisi za kutetea wanaume tena (hili niliwahi kulisema huko nyuma, na nasema hii decade haiishi kabla nchi kama 10 au 20 hivi hazijawa-join wakenya).

Mwambie, kwa dhati kabisa, kwamba huyo rafiki yako aache unyanyasaji, na asijione kwamba alichokipata yeye ndiye wa kwanza kukipata, au anachofanya/anachofanyiwa hadi kinamsababisha awe mpumbavu, yeye ndiye wa kwanza kukifanya/kufanyiwa.

Rafiki yangu ni mlemavu wa viungo. Kuna kipindi alikuwa vibaya kiuchumi, and that time wadada wengi walikuwa wanamkataa alipowatongoza. Mungu mkubwa akatokea mdada ambae alimpenda sana pamoja na kuwa mlemavu na hana hali nzuri kifedha. Pitapita mdada kapata mimba na wakati ana mimba jamaa mazali ya pesa yakamuuangukia. Kifupi life ikabadilika. Yule dada alikuwa wa kawaida sana (sio mrembo sanaaa au dada du) na elimu yanke ni form four ila ni mdada wa heshima.

Sasa ivi jamaa kifedha yuko poa, mademu kitaa wote wanamtaka, sasa yeye anadai yule dada sio chaguo lake (alozaa nae), kampata ambae ni chaguo lake. Hataki kuishi na yule mdada na mtoto tena, na kapata dada du mmoja tena msomi (ana Masters) na ni mzuri sana kwa kweli kiasi kwamba ye mwenyewe hana amani kabisa. Bro wangu kasoma na uyo demu, anasema bonge la kicheche.

Kwa mtazamo wangu nilimshauri asiachane na yule alozaa nae coz nadhani ndo mwenye mapenzi ya dhati kwake. Yeye anadai sio chaguo lake na ana imani anaweza kupata mke mwingine msomi (kama aliyenae) na wakaishi happily. Nifanyaje nimnusuru jamaa na ili zigo analotaka kulibeba?
Hana ulemavu wa akili?
 
mie nakubaliana na huyo mlemavu. kweli anachosema kuwa yule demu aliyezaa nae sio choice yake ingawa demu ana mapenzi ya dhati. alikuwa nae kwa wakati ule becoz thats the type of women he culd get at the tym bana...so kupoza kiu ya mwili tho alikosea kumpa mimba.
huyu alijua wat type of lady she wants na sasa ndio kampata so clearly wacha atafute. wewe unaweza muona **** lakini kila mtu ana tbat picture of a lady they wuld hav as a wife....so let the man have his choice becoz its wat he always wanted but culd not attaon wen he was with no cash......

Mzabizabina;
Kungekuwa na button ya "DISLIKE", ningei-hit hata mara 100 kuonyesha dissatisfaction yangu kwenye statements zako. Kwa nini hakusema kuwa huyu mtu hakuwa chaguo lake kabla hajapata pesa? Pesa huwa inakuja kwa mtu yeyote yule, ila yeye hakulijua hilo! Mara nyingi wengi huwa inawashtukiza, maana wanajiona kuwa kama wao hawastahili kuwa nayo kabla hawajaipata, halafu anakuja anashtukia vuuuu, hiyo imeingia, inamzingua. Anakuwa limbukeni. Ukibahatika akakupa lift kwenye gari lake kwa mfano, na wewe ukajifanya hujui kitu, au huna chochote, utapewa mausia hayo hadi utakimbia utadhani yeye ndiye kagundua formular ya kupata hela.... mara oooh usijali utaoa, utanunnua gari, oooh nini na nini, ulimbukeni mtupu. Frankly speaking I hate the manner! Nawapongeza sana watoto wa Mh. Mengi ni mfano mzuri wa kuigwa. Kuna thread ilikuwa inazunguka jana kuwasifia, mtu mmoja akasema wale ni "old money". Na kweli ukizaliwa pesa ukakuta ipo, huwezi ukashanga kuendele kuwa nayo, ila kama haikuwepo........, halafu ikukute....
M​
 
mie nakubaliana na huyo mlemavu. kweli anachosema kuwa yule demu aliyezaa nae sio choice yake ingawa demu ana mapenzi ya dhati. alikuwa nae kwa wakati ule becoz thats the type of women he culd get at the tym bana...so kupoza kiu ya mwili tho alikosea kumpa mimba.
huyu alijua wat type of lady she wants na sasa ndio kampata so clearly wacha atafute. wewe unaweza muona **** lakini kila mtu ana tbat picture of a lady they wuld hav as a wife....so let the man have his choice becoz its wat he always wanted but culd not attaon wen he was with no cash......

Nashukuru kwa kuchangia hii thread, I believe you are the one. Take your time to read other people's comments I believe you will come into your senses.
 
Back
Top Bottom