Nimfanyeje mtu huyo

Muache. Utapata mwingine.

Muombee maisha mazuri huko aendako, asije yakamshinda halafu akarudi tena kwako ukiwa umeshasonga mbele na kukufanya uwe njia panda
 
bila shaka huyu jamaa atakua ni mseminari kaka next tym unakua nusu nusu then una keep looking for other options vinginevyo jumba bovu litakuangukia kila siku yan
 
bila shaka huyu jamaa atakua ni mseminari kaka next tym unakua nusu nusu then una keep looking for other options vinginevyo jumba bovu litakuangukia kila siku yan

by jingle:kaka ww sio wa kwanza kuumizwa na hawa viumbe waliopo vyuoni!mm ni mmoja wa waathirika wa jambo hilo!nusra nipatwe na wenda wazimu!siyo kesi chukua muda kulifikiria hilo.that's what life goes!
 
Pole sana Mkuu........cha msingi jitahid kuangalia mwelekeo mwingine utaokuweka sawa........jitahid kupotezea kila wzo linapo kuja........watoto wa chuo bado wanakua so wanapenda kujaribisha......pole sana mkuu...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…