Nimfanyeje huyu?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,686
Huyu ni rafiki yangu jana tumetoka out kanivalia hivi.
Imagine mvulana wake yupo masomoni huko.

Ila ananiamini kwa vile nilimwambia kuwa mimi naweza kulala na msichana mwezi mzima bila kumfanya kitu( ferer to one thread here in JF)
Plan yangu nataka kumwambia akiwa na mimi avae vitenge. Mambo ya wAzungu siyataki kwani wazungu ham nao sina
 

Attachments

  • image.jpg
    26.4 KB · Views: 1,231
Shemeji yako katokelezea aiseeeh! Jikaze tu baba ndiyo majaribu sasa!

Sema naona kama kinantega hiki kitoto au labda hakinitegi wala nini basi tu kitoto cha watu kipo comfortable kujiachia.
 

Kimsingi hapo kwenye gari umebeba pepo la mahaba,sema hujajua tu!
 
Unajua mtu anaweza kukutafutia sababu ya kuteseka bila kuelewa. Kua mvumilivu tazama kwa macho tu siku hizi watu wanalenga sehemu zenye mateso na maumivu makubwa kama vile macho kucha meno na jicho.
 
Rangi na ngozi yake inavutiaaa....
 
Na ww uliyataka hayo ilikuwaje unaenda out na shem wako ilihali mwenzie yupo mbali, mwenzio ndo alitegemea utampungua mzigo sema ww umeonesha udhaifu na hatokubal tena outing zako
 
Mbona anaonekana mchafu hajachafua kiti cha gari kweli.
 

Anakupima kama wewe ni shemeji wa kweli katika raha na shida! teh teh teh teh!!!
 
Ilikuwaje ukampiga picha hiyo,kama sio mmeshaanza kutongozana!
 
Tehetehe, hapo hamna mtu msitaarabu. Kwa mazingira hayo inaonekana wote mnataka ila nani aanze. Kwasabau Yeye kavaa hivyo na mnatoka out nawe umeipata picha hiyo, na unakuja huku tukuhakikishie udhalimu unaotaka kumfanyia rafikiyo aliye mbali. Ushauri wangu mwambie kama mnatoka out asivae hivyo na unatakiwa musiwe peke yenu, toka na mpenzi wako na yeye kila out, la sivyo unamtaka!
 
Hata joka la kibisa kwa stahili hizo cku moja litagonga tu. Kuna msemo wa dini kwamba "usiikaribie zinaa" . Halafu si kila jaribu lazima ukemee mengine unatoka mbio tu.
 
Sijao, wewe unadhani mchumba angekuwepo angeniruhusu kwenda out na huyu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…