Nimfanyeje huyu mzee?

mzee safi sana hataki mambo ya ubwete kakupa za uso live live. yeye anachotaka ni hela tu, mpe pesa akupe frem. kijana acha ubwete. ujamaa ulikufa na nyerere.
 
unafikiria ukaribu utakuwepo kwa dingi kama huyu? Wawekezaji wanawezeshwa ndo utashindwa kumuwezesha mwanao?
 


Halafu Mkuu story zako ni za kidizaini flani ivi ya kushirikishana huzuni!!
Ushawahi kuja na Uzi wa kuumia kwa kukosa kazi, pole sana lakini - utawin tu.
https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/682938-hii-imeniuma-sana.html
 
unafikiria ukaribu utakuwepo kwa dingi kama huyu? Wawekezaji wanawezeshwa ndo utashindwa kumuwezesha mwanao?

Mkuu ukaribu lazima uwepo kama kweli unataka msaada wake kama kuongea naye face to face ni ngumu tafuta mzee mwenye hekima awasuluhishe maana haijulikani nani aliyekosea. Wewe kuwa chini tu usitake ligi naye na kama wewe ndo umekosea omba msamaha, kuna watu wanahangaika hawana mitaji wewe kwa maelezo yako mshua wako yuko njema fuata ushauri wangu ili usipotee kwa ngada ukipa business idea leta hapa jamvini tukupe mawazo.
KIJANA NI NGUVU KAZI YA TAIFA.
 

wakuu mie namsupport dingi wa hyu jamaa coz mzee sometimes aweza kuwa na watoto zaidi ya 1 na akientertain huu mchezo ujue kila mtoto ataishia kuomba frame na mbaya zaidi hii partnerhip ya kustukiza mara nyingi ina hila na mtt wa mwenye mali hushawishiwa na partners hata kuua mzee wake ili amiliki estate na vyote vlivyo chini ya mzee! Ukiona mtt anataka kfanyia biashara kwao na wazo kapewa na partners wenzake juu huyu anawaza ndan ya box na wenzak c waaminifu coz wanaanzia wapi kufugua bness pacpo kuandaa gharama halis za bness yao? Mzee huyu hope shule yake imesimama vzr na anatazama mbali sana. Kijana open ur eyes utauzwa wewe na mzee wko japo mzee kabaini mchezo wote mapema.
 
I'm a Man with Strong Sound mind. More than you think on who I am. It was just a kinder of way I thought could reach me there in my Success. and I'm sure I gonna win it on either way round in the name of God.
 
i'm a man with strong sound mind. More than you think on who i am. It was just a kinder of way i thought could reach me there in my success. And i'm sure i gonna win it on either way round in the name of god.

hope that is only point ur father wants to pass through own thought, ur maturity will get a support from ur father and soon u will see success. Therefore act like a man surely your father will work close to you. Mine is just thout only coz most of youth were forced or technically attracted in same cheap partnership bt its end the story get its reality. It was just advice i am happy to hear that you seriously love ur daddy. All the best in ur alternative plan hope ur father will join u ahead the route
 
Tafuta banda lako la biashara, acha kulia lia na mali za babayako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…