Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,916
Reaction score
15,974
Imegeuka kuwa wimbo sijui ni dharau au nini, maranyingi huwa namueleza kuchukizwa kwangu na tabia ya kulala amevaa pichu ila haelewi. Nimfanye nini aache hii tabia ya kipumbavu?
 
Imegeuka kuwa wimbo sijui ni dharau au nini, maranyingi huwa namueleza kuchukizwa kwangu na tabia ya kulala amevaa pichu ila haelewi. Nimfanye nini aache hii tabia ya kipumbavu?
Unataka alale uchi au avae ovaroli?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu..nenda kwa kungwi wake kamweleza juu ya huo utata atakupa somo..!
 
Hiyo si kazi bana!!!unatakiwa uwe romantic bana!!...
Tena umvue kwa mdomo lol

mmh amu kweli mdomo kwenye kyupi cha mtu mzima? Na wewe unaonekana msumbufu kama huyu wifi yako
 
Last edited by a moderator:
sophyl na wewe unamfanyiaga mmeo hii tabia ya kipumbaf?

Sio kila siku unaingiza tu lain kweny simu kirahis hvyo! Kumtoa pichu napo ina raha yake banaa, ila usitoe kama mna ugomvi....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…