nimfanye nini "mke" huyu?

si mnajifanya mnataka wanawake wanaojiwezaa? Huyo ndo anajiweza sasa
 

sasa unanitisha au?
 
Last edited by a moderator:
yani nimefupisha tu kwani sijui ana pepo gani kama kumzingu nishafanyana sana tu ataki nimuache eti atafanya lolote nikiachana nae

lolote lipi wewe?

hebu na wewe fanya lolote ili na yeye afanye lolote halafu tuone kama wote mtafanya lolote!!!

kwanini mnatishana bila lolote?
 
Wewe kaa tu, usijefanywa kitu mbaya. Si unapenda vya bure?
 
kwani wewe uwataki ao wanaojiweza na sio wote we nye---?acha nizinduke
Hapo kwenye dash apo communication barrier. Toka enzi za adamu mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho, mwanamke hakuambiwa hivyo- kwa maana hiyo anayetakiwa kutafuta mtu anayejiweza namaanisha kiuchumi ni mwanamke, mwanaume kazi yake kutafuta. Kwa mujibu wa stori yako inaonekana ulitarajia kufanikiwa kwa kuwa na huyu mwanamke.
 

kwani cha ajabu nini kuwa na "mke" mwenye uwezo au? mjini mipango wewe ngoja likukute wewe nione kama utaruka
 
kwani cha ajabu nini kuwa na "mke" mwenye uwezo au? mjini mipango wewe ngoja likukute wewe nione kama utaruka
Sio cha ajabu,Kama mnapendana kweli sawa.
tasfiri ya vitendo vya huyo mwanamke ni kwamba anakutumia kama kiburudisho maana amegundua hujatulia na ukizingatia humsaidii kwa lolote so anakutumia huku akicheki future yake kivyake yani hamna mipango ya pamoja yani anakuona unamtumia wewe na yeye akutumie hadi atakapokuchoka yani ni kama kisasi flani aridhike. Ukimwacha uwe na mpenzi mwingine atafanya kila mbinu akuharibie hata kwa kuongea vitu vya ajabu kwa mpenzi wako ili aumie akuache uumie na wewe.
 

mimi siwezi kumuongelea kwa7babu mambo yake nayajua mimi labda uniambie ana wasiwasi na mimi yani uwamimifu amna
 
Mara mke mara hamjaoana!acha woga wewe unatishiwa maneno nawewe unatishika kwanza hamjaoana pili hamna mnalolipanga,chamuhimu ni kutizama upendo wako na wake, kama mnapendana mnaishi tu acha woga chukua hatua!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…