nimfanye nini "mke" huyu?

wewe bado uaonekana ni mvulana ukiwa mwanaume utafanya maamuzi ya kiuwanaume

hata ww ni msicha pia umejuaje mimi ni mvula najua watu kama wewe awakosekani ila asante kwa ushauri wako
 
Sasa ndo nini hii jamani yaani wewe msakabali wa maisha yako unategemea kwa mwanamke ambaye hata hujamuoa? kwani bila yeye maisha yako ndio yamefika mwisho? achana na akili za kushikiwa ndugu yangu tafuta chako uweze kuamua yako.
 
Kaka hebu jikaze basi uache kutuaibisha wanaume wenzio...au weye ni mvulana?

Hata haogopi, macho makavu eti anataka faida kutoka kwa hawara. Hivi unahakika uko pekeyako best? Weka na CV yako tujaribu kukupa fursa
 
Sasa ndo nini hii jamani yaani wewe msakabali wa maisha yako unategemea kwa mwanamke ambaye hata hujamuoa? kwani bila yeye maisha yako ndio yamefika mwisho? achana na akili za kushikiwa ndugu yangu tafuta chako uweze kuamua yako.

THUMB UP!!! ndio maana anajifungia ndani hapati exposure zaidi ya kulalamika tu. Si hata huyo 'KE' atachoka utashangaa anasepa tar'tibu
 
Anataka uendelee kumgegeda tu, hataki mambo yako ya kupanga naye mipango ya kimaisha. Mipango ya kimaisha panga mwenyewe au tafuta mwenye akili ya kupanga naye mipango ya kimaisha huyu anataka mgegedo tu na ukimnyima mgegedo ole wako atakufanya kitu mbaya sana hata kukupeleka mabwepande kukungo'a kucha bila ngazi.

 
Last edited by a moderator:

Shenzi kabisa.
 
Mwanaume wa kweli hupata majibu ya matatizo yanayomsibu. Acha utoto act like a real man
 
Unakubali kuwekwa ndani mwanaume....stuka mkuu achana nae huyo usiogope kulogwa
 

kijana,

vitabu vya dini vinasema mwanamke ni kiumbe dhaifu! hilo halipingiki!

hata awe na mali nyingi kiasi gani, still atakuwa chini ya ya mwanaume, hata kama akiwa mtoto wa darasa la pili, ilhali tu ni mume wake halali!

wewe umekuwa too calm kwa huyo mkeo, inaonekana hujawahi hata kufoka hata kama kakukosea!!

weka msimamo wewe!!!

mzingue siku moja wala hata usiangalie ana nini!
 
Hata haogopi, macho makavu eti anataka faida kutoka kwa hawara. Hivi unahakika uko pekeyako best? Weka na CV yako tujaribu kukupa fursa

sio kwamba namtegemea yeye naomba ieleweke ivo
 

yani nimefupisha tu kwani sijui ana pepo gani kama kumzingu nishafanyana sana tu ataki nimuache eti atafanya lolote nikiachana nae
 
Sasa ndo nini hii jamani yaani wewe msakabali wa maisha yako unategemea kwa mwanamke ambaye hata hujamuoa? kwani bila yeye maisha yako ndio yamefika mwisho? achana na akili za kushikiwa ndugu yangu tafuta chako uweze kuamua yako.

mmmmm? kwani yeye ni mungu wangu ndo nimtegeme yeye?
 
Atafanya lolote??? Ujue mwisho wake wa kufikiria umeishia hapo.!!!! Kwan hata ww huwez fanya lolote ...geukia kulia chapa mwendo kama hana plan na ww ....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…