nimfanye nini "mke" huyu?

Hivi sijakuelewa mme mtupu inamaana hana uwezo wa kufanya kazi ya kuingiza kipato au kwa namna nyingine hana kipato kikubwa kwa mafikilio yangu sasa mkuu usilazimishe kitu hujui kuwa mungu anakuepusha na balaaa gani na pia ishi naye kw a akili usiamini mwanamke yoyote yule isipokuwa mama tu aliyekuzaa wengine ni mamluki tu achana naye
 

nimekuelewa ndugu nitafuata ushaur wako usijali.
 
hapo unamtegemea ndo mana huwez ondoka !!
fanya kazi kijana acha uduwanzi!!
 

Unamwambia muachane kwa sababu ipo hasa?
Utashindwaje kumuacha ikiwa hamjaoana?
Tafuta hela au mwambie akuwezeshe ufanye Biashara.
 
Unamwambia muachane kwa sababu ipo hasa?
Utashindwaje kumuacha ikiwa hamjaoana?
Tafuta hela au mwambie akuwezeshe ufanye Biashara.

nikweli usemayo eti ananichimba mkwara nakama nimtaji mbona....?
 

bwana ukweli nimeamini kuna wanawake pasua kichwa sio mamluki tu
 
ndugu yangu umetekwa na kuwekwa ndani ama nini?
 
sina zaidi ya kukwambia pole....ila waungwana wanasema mume ni kichwa cha familia.. jiasses mwenyewe kama we ni kichwa cha famlia kabla sijakuita we ni sex machine wa huyo unaemuita mkeo
 
wewe bado uaonekana ni mvulana ukiwa mwanaume utafanya maamuzi ya kiuwanaume
 
Kama hamjaoana nini kinakuzuia kumkimbia?
Wewe binafsi una mpango gani wa kutafuta shughuli ya kipato ili uachane naye kwa kujiamini?
Inaonyesha humpendi lakini unakosa maamuzi kutokana na kutokuwa na chapaa!

Huwa humung'unyi maneno!
 
sina zaidi ya kukwambia pole....ila waungwana wanasema mume ni kichwa cha familia.. jiasses mwenyewe kama we ni kichwa cha famlia kabla sijakuita we ni sex machine wa huyo unaemuita mkeo

ndo maana niko apa kuomba ushauri najua mwishowe maamuz nitachukua mm mwenyewe sawa ndugu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…