Nimfanye nini huyu mwanamke?

Mnatupotezea muda aise.
 
Nimejikuta nawaza hivi mwanamke atanifanyia nini mpaka niamue kumlipia kodi nimekosa majibu.
Ndiyo maana sisiem kila mwaka wa uchaguzi inashinda tu kwa sababu ya mambumbu kama hilo ni mtaji tosha wa wanyonyaji na yako mengi sana so yanakua manipulated tu kirahisi...
 
jibu unalo
 
Lipa tena
 
We n nani kwake em jiongeze na ww
 
unamlipia halafu haukanyagi kwakwe? na uko serious kabisa kashakuona kitega uchumi huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…