VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,120
- 2,234
Kitumbua alikua anakupea wap?Nimemlipia pango Januari mwaka huu lakini hajanikaribisha kwake hata siku moja licha ya kumuomba mara kadhaa. Leo mkataba wake wa pango unakaribia kwisha, ananiomba nimlipie tena!
Kwenye title ni mwanamke, sio mwanamme. Mambo ya smart phone, mnisamehe
Nilipie na mimi mahabubaNimemlipia pango Januari mwaka huu lakini hajanikaribisha kwake hata siku moja licha ya kumuomba mara kadhaa. Leo mkataba wake wa pango unakaribia kwisha, ananiomba nimlipie tena!
Kwenye title ni mwanamke, sio mwanamme. Mambo ya smart phone, mnisamehe
Lodge mkuu.Kitumbua alikua anakupea wap?