Nimfanyaje mtu huyu

Nimfanyaje mtu huyu

habarini wana jamvini, ni ivi una kua ktk relation na mwanaume na ktk kipindi chote cha relation mnakuwa ni watu wa kugombana saana , una amua kuachana naye na ktk kipindi icho cha kuwa mbali ana kuwa mtu wa kusumbua sana hadi kero anakuwa anataka kurudiana, baada ya mda una gundua jamaa kachumbia tayari na anataka kuelekea kwenye ndoa, so unaamua kumsahau kabisa but jamaa anaendelea kusumbua saana ana dai hawezi kuishi bila yeye inafikia kipindi jamaa anaomba hata urafiki tu kwa yule dada wa mwanzo., je ni kweli jamaa anatafuta urafiki au kuna cha ziada na kweli kuna mapenzi hapo au ndio wasanii wetu wa bongoooo

Kusoma hujui, hata picha?!
 
Mmmmh hapa sijakuelewa yaani umesema jamaa ana mtu tayari na anaelekea kwenye hatua za mwisho za kuoa. Sasa tena anataka muendelee kua wote tena hawezi kuishi bila wewe. Mmmmmh bado nina mshangao sana je wewe unahisi huyo bwana ataahirisha ndoa yake na kufunga ndoa na wewe au anataka muwe wapenzi tu na hakuna future au anatakaje hasa. Je wewe binafsi thamani yako kwa huyo bwana unahisi iko kama mwanzo au imepungua. mimi ningekubaliana na suala la kurudiana iwapo ungesema jamaa anataka kumuacha mchumba wake ili muwe wote hapo tungeanza mazungumzo lkn kwa hivi ilivyo naona nikae kimya.
 
amekuwa nawe mkaachana amekwenda kuchumbia unaona bado anakupenda hakuna upendo anataka kukutumia angekupenda wala asingechumbia achana nae
 
Mi nimeshindwa kumuelewa mtoa mada anataka nn hasa?
 
Back
Top Bottom