Nimfanyaje mtu huyu

Nimfanyaje mtu huyu

kokunestory

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
86
Reaction score
11
habarini wana jamvini, ni ivi una kua ktk relation na mwanaume na ktk kipindi chote cha relation mnakuwa ni watu wa kugombana saana , una amua kuachana naye na ktk kipindi icho cha kuwa mbali ana kuwa mtu wa kusumbua sana hadi kero anakuwa anataka kurudiana, baada ya mda una gundua jamaa kachumbia tayari na anataka kuelekea kwenye ndoa, so unaamua kumsahau kabisa but jamaa anaendelea kusumbua saana ana dai hawezi kuishi bila yeye inafikia kipindi jamaa anaomba hata urafiki tu kwa yule dada wa mwanzo., je ni kweli jamaa anatafuta urafiki au kuna cha ziada na kweli kuna mapenzi hapo au ndio wasanii wetu wa bongoooo
 
::
Kwanza nikupe pole kokunestory
::
Pili kuna mambo ambayo hututokea ktk mahusiano ambayo yanashangaza.Ila ukikutana na ukweli huwezi kumlaum huyo mliekuwa mkivutana kifikra,kitabia na kimaono.
::
Nasikitika ninayo mengi ya kueleza na kukuangaza ili uone ukweli ulivyo Lakini kwa hapa tu,,badili mawasiliano maana hamuendani.
=
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kumpa nafasi yawezekana amegundua alichumbia kwingine kimakosa na atajirekebisha na kuna uwezekano wa kuishi maisha ya furaha sana baadae kwani ktk maisha tunajifundisha na kujirekebisha kulingana na makosa,so mpe nafasi ht ya urafiki na utanipigia cmu.
 
bibie mtu ameshachumbia
ni mume wa mtu huyo mtarajiwa!!
ila fuata moyo wako but uwe na maamuzi
ya busara usijelia baade!!1
 
Anataka kumaliza haja zake
Hana muda na wewe kwani angekua anakuthamini na kukuheshimu angekuchumbia wewe
Ushauri wangu; tafuta ustaarabu wako
 
he is not worth it
Hilo analijua Huyo dada aliyeonjwa...wewe unajuaje???? Maana asilimia kubwa ya wasichana wa Kibongo mnapenda kugegedwa vizuri na kulea upuuzi....matokeo yake ndio haya.
Wewe unasema he's not worth it na wakati wewe mwenyewe uko au umeshawahi kuwa kwenye same situation. Let's get real people.
 
ha ha ha..kua kwenye situation ya mtu anataka kufunga ndoa na mwingne alafu awe ananifatilia na mm uku akijinadi kua hawez ishi bila mimi?..hapana mkuu,umekosea..na kaa ukijua kua si mabint wote wanapenda kugegedwa tu..sio wote..

hivi nyie wanawake naomba niwaulize...kweli do u know what love is? becoz seems to me the most obvious of things mnashindwa kuona wen it comes to relationships.....ah ndio maana mnatumika wengi wenu...poor judgement.
 
ha ha ha..kua kwenye situation ya mtu anataka kufunga ndoa na mwingne alafu awe ananifatilia na mm uku akijinadi kua hawez ishi bila mimi?..hapana mkuu,umekosea..na kaa ukijua kua si mabint wote wanapenda kugegedwa tu..sio wote..
Sawa mama. Lakini kumbuka ule msemo unaosema " Utamu wa Dushe aujuayee....mpokea Dushe". Kwani wewe hujawahi kuwa na ndugu au shosti wako kutwa anachezea makonde kutoka kwa bwana yake na upuuzi kibao lakini yupo tu. Kutwa mnamshauri amuache Huyo jamaa lakini hasikii wala hataki kuambiwa. Kuna ule msemo wao wanaupenda sana "Nimemzoea jamani..nafikiria kuanza upya na mtu mpya mpaka nimzoee hivi kazi kweli kweli".
 
Acha kulea ujinga, funguka akili huyo kaka alianza uhusiano na wewe then akakuacha anataka aoe mwingine, hivi jiulize kwanini asikuoe wewe kama kweli anakupenda? Au umeridhika kuwa kigegedeo chake?
 
Kama wewe ni mkristo ujue unapoteza muda kwa maana hamna ndoa ya wanawake wawili.usijishushe hadhi kuwa hawara,simama,amini kwamba wako yupo na atakuja kirahisi usivyotegemea.
 
Acha kulea ujinga, funguka akili huyo kaka alianza uhusiano na wewe then akakuacha anataka aoe mwingine, hivi jiulize kwanini asikuoe wewe kama kweli anakupenda? Au umeridhika kuwa kigegedeo chake?
Tatizo la wengi wanadhani relationship inakuwa bora wakati wa processing. Kama ukiamua kufikiri bila ya huruma utakuja kubaini wengi huamua ama kuendelea na mahusiano waliyopo ama kuachana nayo baada kufanyia analyis results wanazopata. Results hupatikana faragha. Hata uwe HB vipi au uwe mrembo kiasi gani lakini ukienda faragha unakuwa mchoovu hakuna atakate kutaka for life labda auzeuze sura nawe huku akitafuta atakaye mshibisha faragha. Cha msingi hapa ni kujifunza. hapa unaweza kuanzia kozi yako lakini kumbuka hii ni kwa ajili ya 21+ :mvutaji:
‪Connect; Mombasa Raha Positions: Part 1 Of 3.‬‏ - YouTube
 
habarini wana jamvini, ni ivi una kua ktk relation na mwanaume na ktk kipindi chote cha relation mnakuwa ni watu wa kugombana saana , una amua kuachana naye na ktk kipindi icho cha kuwa mbali ana kuwa mtu wa kusumbua sana hadi kero anakuwa anataka kurudiana, baada ya mda una gundua jamaa kachumbia tayari na anataka kuelekea kwenye ndoa, so unaamua kumsahau kabisa but jamaa anaendelea kusumbua saana ana dai hawezi kuishi bila yeye inafikia kipindi jamaa anaomba hata urafiki tu kwa yule dada wa mwanzo., je ni kweli jamaa anatafuta urafiki au kuna cha ziada na kweli kuna mapenzi hapo au ndio wasanii wetu wa bongoooo

hueleweki. andika tena ili tuelewe unataka nini. sawa?

Back
Top Bottom