Mwambie haya:Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!
Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri.
Tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.
Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.
Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.
Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs. Bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula.
Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop!
Binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
Duh! amle kichuri!Mwambie haya:
"Kuanzia leo mke wangu sitaki use.nge usenge wako wa kuwapikia hao kenge" akikasirika mle kichuri mwambie "mke wangu hebu tusikilizane hii ni ndoa yetu na mimi kuna kitu nitakusikiliza"
Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!
Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri.
Tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.
Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.
Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.
Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs. Bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula.
Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop!
Binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
Hayo ya kwakoDuh! amle kichuri!
Hivi kichuri si ndio ma.vi au mimi ndio sielewi?
Ukiwatafuna utapata faida mbili,Ha ha ha ha, nikionyesha dalili hizo itakuwa vizuri, nadhani nitatibu kitu hapa
Kwahiyo kichuri ni nini mkuu?Hayo ya kwako
Mkuu hili suala nalo ni la kuleta watu wakupe ushauri ni mkeo au ni mwanamke unaishi nae? Kweli wanaume wamepungua sana siku hizi,pole sana!Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!
Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri.
Tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.
Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.
Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.
Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs. Bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula.
Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop!
Binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
KumbanduaKwahiyo kichuri ni nini mkuu?
Hiyo sio suruhu hata huko watakakohamia mkewe ataenda kufanya hivyo sababu mkewe ni Mama huruma........hapo tiba anayo mumewe tena wakiwa hapo hapoWw muache tu komaa ujenge nyumba yako mhame hapo,mkaishi kwenye nyumbani yenu ,mbali na hao marafiki zake Maandiko yanakwambia uishi na mwanamke kwa akili