Nimezielewa sana Honda Cross Road

Badala ya Spare Tyre kwenye hii gari nimekuta wameniwekea Portable Air Pump kwa ajili ya kujazia tyres upepo ukipungua na Tyre repair Kit ili kukusogeza unapoweza pata huduma ya msingi.👍
Mkuu uliinunua hii gari?
 
Hii ndio ile gari imekaa kama mbwa anajinyoosha mgongo😅
1B579F49-B188-4A05-A216-8443D033FE9C.jpeg

Honda Cross Road
 
Baba tupe ABC za hii gari maana hata mimi naielewaga sana nikiiona road ila sijajua kama inamirikika kirahis au?
Kaka, Gharama za hii gari hadi kufika + Ushuru wa Bandari na vyoote hadi kuichukua na kuingia nayo Road imegharimu Tshs 10.6M hii imetegemea na gharama niliyonunulia.
1.) Hii Gari ina matoleo mawili 2Wheels na 4Wheels drive
2.) Ukubwa wa Engine za gari hizi kuna CC 1799 na CC1990
3.) Ni 7 Seater ikiwa ni SUV Medium sized kwa matumizi ya familia.
 
Unaionaje hiyo gari mpaka sasa na je ulichukua ip mpaka ikakugharim hiyo 10.6m yenye 4wd au 2wd naniyamwaka gan mbona kama bei yake nindogo?
 
Kaka, Gharama za hii gari hadi kufika + Ushuru wa Bandari na vyoote hadi kuichukua na kuingia nayo Road imegharimu Tshs 10.6M hii imetegemea na gharama niliyonunulia.
1.) Hii Gari ina matoleo mawili 2Wheels na 4Wheels drive
2.) Ukubwa wa Engine za gari hizi kuna CC 1799 na CC1990
3.) Ni 7 Seater ikiwa ni SUV Medium sized kwa matumizi ya familia.
Mkuu hii gari ulichukua kampuni gani?
 
Ni rahisi kuitengeneza sababu katika hiyo miji ni rahisi kupata professional people walioko kwenye gereji za Hali ya juu japo itakutoka hela but matengenezo yapo sasa wewe unakaa katavi ,mtwara ,kishumundu utajuta kama ugonjwa WA kisukari
unakariri maisha, kishumundu Siyo kwamba ni porini, Ni km 3 au 5 tu kutoka Moshi town. Umaarufu wake ni kutokana na ushamba mwingi enzi hizo wakija moshi mjini.

Leo hii ni moja ya eneo lenye wasomi wengi wakubwa, hola kusahau watu wengi wenye matatizo ya akili.
 
Ni rahisi kuitengeneza sababu katika hiyo miji ni rahisi kupata professional people walioko kwenye gereji za Hali ya juu japo itakutoka hela but matengenezo yapo sasa wewe unakaa katavi ,mtwara ,kishumundu utajuta kama ugonjwa WA kisukari
Usichokijua Mtwara ni hapo tu, kisochopatikana leo mtwara, ukiagiza Dar kesho saa nane tayari kishakufika.

Kama ilivyo Dar, baadhi ya mahitaji kuagizwa toka Nairobi, ungeniambia hali hewa ya huku haienda na hiyo gari sawa, ila kiufundi unadanganya.
 
Back
Top Bottom