Nimezama kwenye penzi la mamdogo wangu

Naona wewe huna psychology ya binadamu normally aibuna hofu huwa ipo mwanzo tu. Ikitokea ukaliwa na kaka yako kuacha itakuwa shida labda mkose mazingira ya kukulana.
ahahahaha umenichekesha sana Eti Aibu na hofu inakua??? hongera sana Professor Bigmind..lol
 
One out of four. Sio vichaa wote wanaokota makopo na vyakula kwenye mitaro. For once TWAWEZA walikuja na research findings zenye ''mashiko''
 
ahahahaha umenichekesha sana Eti Aibu na hofu inakua??? hongera sana Professor Bigmind..lol
Umecheka sababu gani??

Ndivyo ilivyo ukishajisahau ukaliwa ata km baba yako au mama yako mtakulana milele. Cha msingi mshinde shetani siku zote na mbinu ni kukaa mbali na watu unaodhani ni laana iwapo utawatafuna.
 
Ili jambo ni baya sana, raaana mbele sir god, ina maana wanaume wote, hawa tuliojaa mama, anaenda kuzini na mwanawe, na ww nae unakuja humu, kujisifia kuwa unatembea, na mama ako mdogo uoni aibu, na wala auogopi kuraanika mbele ya mwenyezi mungu, mnaifundisha nini Jamii, iliowazunguka hapo wakija kujua kuwa,unatembea na mama ako mdogo, nakushauli achana na iyo kitu mdogo wangu, jamii ikija kujua familia yenu, na ukoo wenu mtazaraulika....!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom