Cha muhimu zidisha tu maufundi mkuu......au alternative tafuta beki 3 mwenye sura ya baba yake otherwise utaumizwa tuHapa ndio nikifikilia wadada wa kazi nguvu zinaniisha aisee nyie mwanaume nyie mna nini lakini

Hizo mambo za house gal sitakagi kabisaCha muhimu zidisha tu maufundi mkuu......au alternative tafuta beki 3 mwenye sura ya baba yake otherwise utaumizwa tu![]()
![]()
![]()
hujawa busy maybe itafika kipindi no way out lazima uwe na beki 3Hizo mambo za house gal sitakagi kabisa
Sihitaji house gal mkuu najua kupangilia kila kitu changuhujawa busy maybe itafika kipindi no way out lazima uwe na beki 3
Umeshakua na mtoto? na ukawa busy sana na mishe zako or kazi in a way ambayo unashindwa ku manage issues zote at the same time?Sihitaji house gal mkuu najua kupangilia kila kitu changu
Mkuu kula tano kwanza, ni kweli anamtumia kwa saiv je afikiria maisha ya huyu binti kwa siku za mbeleni, mfano akimpa mimba nini matokeo yake???Ulishawaza future vya huyu binti baada ya wewe kumtumia kingono?
Bwana we vyote ninavyo house gal sihitajiUmeshakua na mtoto? na ukawa busy sana na mishe zako or kazi in a way ambayo unashindwa ku manage issues zote at the same time?
Hongera mkuu.....good for you!Bwana we vyote ninavyo house gal sihitaji
Asante sanaHongera mkuu.....good for you!
Duuuuu aisee mmeamua kunifanyia hivi ? Hiv na mm nikaja kuweka uzi wa kugegeda mke wa mtu na ana sifa ka za wife wako ,na kumsifia utajisikaje?Hivi kuna mtu amewahi kukaa nyumbani kwa wazazi/ walezi kuna beki tatu hajagonga??
Kwani kumtumia kingono kuna mahusiano gani na mustakabali wa huyo binti jamaniUlishawaza future vya huyu binti baada ya wewe kumtumia kingono?
Kabisa angepigwa yeye mkuu halafu anajitapa ni mwalimu wa chuo pyutuuuHivi dunia hii si bora ungepigwa wewe lisasi lisu hakasalimika
Mimi hapa, beki tatu kwangu ni nyama haramu kabisaHivi kuna mtu amewahi kukaa nyumbani kwa wazazi/ walezi kuna beki tatu hajagonga??
