Nimezama kwa Bar Maid

wanawake wa kichaga(machame) huwajui wenakuvutaa taratiibu uingie kingi, utapewaa chochote utakacho ila mwisho wa siku utavirudishaa vyoteee
 
wanawake wa kichaga(machame) huwajui wenakuvutaa taratiibu uingie kingi, utapewaa chochote utakacho ila mwisho wa siku utavirudishaa vyoteee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji36] [emoji36] mkuu huyu sio mmachame.
 
Moyo kama maharage ukisema ya nazi hayanogi basi wenzio chukuchuku ndo penyewe ckia n hv me rafiki yangu kamaliza master's hapo mzumbe ila kaoa beki tatu na hajalogwa we ckiliza moyo wako tu.
 
Moyo kama maharage ukisema ya nazi hayanogi basi wenzio chukuchuku ndo penyewe ckia n hv me rafiki yangu kamaliza master's hapo mzumbe ila kaoa beki tatu na hajalogwa we ckiliza moyo wako tu.
Dah, hakika kila kitu moyo ndg. Mwisho wa siku kuishi ni mara moja tu. Furaha/amani yako ndo jambo la msingi. Thanks
 
Na usipende kusimulia watu kuna wenzio wameoa wachaw n wapo kimya we umeoa bar tender shukuru mkuu
 
Mfungulie bar kabisa ili uzame vizur kabisa ushindwe na kuinuka....
 
Oa tu mkuu! Kama ndipo unapopatia faraja na tulizo la moyo pang'ang'anie tu!
 
Wataalamu wa JF wanaendeleza series kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…