kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,636
- 2,885
tumefahamu kwamba nawewe ulifika chuo,si ndo lengo lako
kuna watu mna vijembe,yani ktk post yake nzima hicho ndicho ulichokiona mkuu?
tumefahamu kwamba nawewe ulifika chuo,si ndo lengo lako
Duu lara1 upo?
mmh, pole
Kutafuta mwanaume mwingine ilikuwa ni njia tosha ya kumsahau ex -wako, jaribu kuwa nae karibu zaidi itakusaidia!