Nimezama but naomba dawa nimtoe mawazon my EX

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
2,696
Reaction score
1,063
Habari zenu bandugu
Naomba msaada maana inanila kichwa
Nilikua na bf wangu since cjajua maana ya mapenzi,I real loved the guy ,nakumbuka mara ya kwanza kukutana nae machoni nilikua form one ye akiwa form two,alitokea kua rafiki yangu sana kitoto toto tukawa tunaambatana kama kumbikumbi ,maisha yalikua matam nsipomuona au ye asiponiona cku haiishi,.Tukaendelea hadi tulipofika A level tukaanza kua na uhusiano wa karibu ikamove from just a frend to BOYFREND,.Msinicheke jamani nilijidanganya kua he is ma alpha na omega,ckuwahi kucheat ingawa cwez ongelea upande wake.

Big mistake katika kipindi chote hicho hatujawah zungumzia ndoa itakuaje hadi tulipopevuka i mean tulipokua chuo kama mwaka wa pili,as u know wadada wapo one step ahead kwenye suala la kuwaza ndoa kuliko boys,nikamuuliza sa baby nini hatma yetu,...............Nilijuuuuuuta maana nilikua napata majib ambayo yako nje ya uwezo wetu,akaniambia kiukweli siwez funga ndoa tofaut na dheheb langu ingawa nakupenda sana naomba tuliache hili suala tutalifikisha kwa wakubwa, basi tukapotezea,mda ukawa unayoyoma tukamaliza chupo tukaajiriwa nikawa nshapoteza matumain nikamwambia basi tubrekup for good,akagoma niaitwa kwao akaja kwetu wazazi wakazungumza ,hadi wachungaji ikashindikana kila mtu anataka abaki kwenye imani yake,me nikakubali serikalini ye anadai ifungwe dhehebu lake haamini ndoa za tofaut watoto watasafa, basi tuaachana nikamchukia coz nikajuuta kupoteza mda, ukapita mwaka wa hasira akaanza nitafuta kwa hi, leta niaanza mpokelea cmu akawa ananchek nam namchek ckumojamoja as frend.

Bt akili yangu imegoma kuamini nilisema staki badilisha mwanaume lakini imenibidi naombeni dawa ya kumacept as a frend nimpende niliyenaye kwa mapenzi yote na akili yangu ikubali kua na mwanaume wa pili c yule tena.nampenda huyu niliyenaye sasa na sifikirii kumcheat bt bado najichukia coz nimebadili mwanaume tofaut na plan zangu,msaada pls
 
Yani hapo ulipo umegraduate na una ajira? To me u sound like a little gal ambaye amecrush kwa jamaa flan! Lol

Hebu tueleze siri ya mafanikio yenu basi maana hata wengine tungependa kujua mlifanyaje hadi huko
 
Yani hapo ulipo umegraduate na una ajira? To me u sound like a little gal ambaye amecrush kwa jamaa flan! Lol

ciello age imeenda enda kidogo nishauri basi, have u eva b in ,............................
 
kha!!! this is y kucheat kwenye ndia kutaendelea sasa mtu upo na jamaa mwengine lakini mawazo yapo kwa mwengine aibu!!
anywayz wewe mie naona itabidi ukubaliane na hali halisi that he wont be ur husband hapa duniani...make peace wit that. kuhusu kumuwa hiyo bwana itakuwepo na ni baada ya muda tuu ndio itaanza ootea. la msingi usi initiate contact mpaka yeye akuanze. usiwe una associate nae sana.
 
Mpe t a ko afumue marinda ale kwa raha mnato then mgandane tujue moja, au unasemaje baby?
 
Inabidi u change plan yako maana situation ni tofauti . Nothing wrong with having more than one man if things didn't work out with the first one. Usinganganie mwanamme kisa hutaki kuwa na zaidi ya mmoja. Unaona jinsi ilivyokuwa rahisi kukuacha sababu ya dhehebu tu? He wasn't serious about you , sema aliona ataweza kula mambo bila commitment. Miaka yooote hiyo hamkuongelea ndoa ? Hakufikiria dhehebu wakati mpo pamoja? Kweli dhehebu ndo iwe shida? Je ingekuwa dini, kabila au rangi?? anyways just know you can never be friends if you can't be together. Dawa yake ni kukata mawasiliano na kuendelea na maisha. Utapata mwingine atakaekupenda as you are. Ukiamua utaweza.

Habari zenu bandugu
Naomba msaada maana inanila kichwa
Nilikua na bf wangu since cjajua maana ya mapenzi,I real loved the guy ,nakumbuka mara ya kwanza kukutana nae machoni nilikua form one ye akiwa form two,alitokea kua rafiki yangu sana kitoto toto tukawa tunaambatana kama kumbikumbi ,maisha yalikua matam nsipomuona au ye asiponiona cku haiishi,.Tukaendelea hadi tulipofika A level tukaanza kua na uhusiano wa karibu ikamove from just a frend to BOYFREND,.Msinicheke jamani nilijidanganya kua he is ma alpha na omega,ckuwahi kucheat ingawa cwez ongelea upande wake.

Big mistake katika kipindi chote hicho hatujawah zungumzia ndoa itakuaje hadi tulipopevuka i mean tulipokua chuo kama mwaka wa pili,as u know wadada wapo one step ahead kwenye suala la kuwaza ndoa kuliko boys,nikamuuliza sa baby nini hatma yetu,...............Nilijuuuuuuta maana nilikua napata majib ambayo yako nje ya uwezo wetu,akaniambia kiukweli siwez funga ndoa tofaut na dheheb langu ingawa nakupenda sana naomba tuliache hili suala tutalifikisha kwa wakubwa, basi tukapotezea,mda ukawa unayoyoma tukamaliza chupo tukaajiriwa nikawa nshapoteza matumain nikamwambia basi tubrekup for good,akagoma niaitwa kwao akaja kwetu wazazi wakazungumza ,hadi wachungaji ikashindikana kila mtu anataka abaki kwenye imani yake,me nikakubali serikalini ye anadai ifungwe dhehebu lake haamini ndoa za tofaut watoto watasafa, basi tuaachana nikamchukia coz nikajuuta kupoteza mda, ukapita mwaka wa hasira akaanza nitafuta kwa hi, leta niaanza mpokelea cmu akawa ananchek nam namchek ckumojamoja as frend.

Bt akili yangu imegoma kuamini nilisema staki badilisha mwanaume lakini imenibidi naombeni dawa ya kumacept as a frend nimpende niliyenaye kwa mapenzi yote na akili yangu ikubali kua na mwanaume wa pili c yule tena.nampenda huyu niliyenaye sasa na sifikirii kumcheat bt bado najichukia coz nimebadili mwanaume tofaut na plan zangu,msaada pls
 
Me i dig what you are going through!!!!!!!!!1 ITS TUFF!!!!! Mi nilikuaga na a Muslim guy, very sweet, super nice!!!! Things aret easy dear!!!!!!! Mi nilishndwa banaaaa!!!!!!!

Ila kama unampenda sanaaaa we zaa nae tu, mambo yanakuwa si magumu sanaaaa!!!!!!!( Pia hili lilinishinda)

NA KUONESHA UKIWA WA FUNGU LA KUKOSA UTAKOSA TUUUU NA HUYU NAE MLUTHERI WKT MI ROMA, YALE YALE!!!!!!!!!

Goodluck dear
 
Maisha usiyachukulie serious kiasi hicho mrembo, kila jambo lina makusudi yake, life experience nayo itakusaidia sana kuja kuishi na mumeo, mwache aende kama umeshindwa hamia dini yake, kama ulijisikia kumpenda sana ukashindwa kuhamia dini yake,bac move on,urafiki nae hautawezekana mtaishia kufanya mapenzi ya siri tuuu
 
Me i dig what you are going through!!!!!!!!!1 ITS TUFF!!!!! Mi nilikuaga na a Muslim guy, very sweet, super nice!!!! Things aret easy dear!!!!!!! Mi nilishndwa banaaaa!!!!!!!

Ila kama unampenda sanaaaa we zaa nae tu, mambo yanakuwa si magumu sanaaaa!!!!!!!( Pia hili lilinishinda)

NA KUONESHA UKIWA WA FUNGU LA KUKOSA UTAKOSA TUUUU NA HUYU NAE MLUTHERI WKT MI ROMA, YALE YALE!!!!!!!!!

Goodluck dear

Kweli,,asilazimishe FUNGU LA KUKOSA NI KUKOSA NA LA KUPATA NI LA KUPATA
 
Wote wazinifu tu, hamna lolote. Mnataka sisi tuhalalishe zinaa yenu?
 
Nenda ukaombewe kwa Mtume na Nabii Josephat E Mwingira ya kale yote yatapita na ya sasa utayaona mapya kabisa
 
Inabidi u change plan yako maana situation ni tofauti . Nothing wrong with having more than one man if things didn't work out with the first one. Usinganganie mwanamme kisa hutaki kuwa na zaidi ya mmoja. Unaona jinsi ilivyokuwa rahisi kukuacha sababu ya dhehebu tu? He wasn't serious about you , sema aliona ataweza kula mambo bila commitment. Miaka yooote hiyo hamkuongelea ndoa ? Hakufikiria dhehebu wakati mpo pamoja? Kweli dhehebu ndo iwe shida? Je ingekuwa dini, kabila au rangi?? anyways just know you can never be friends if you can't be together. Dawa yake ni kukata mawasiliano na kuendelea na maisha. Utapata mwingine atakaekupenda as you are. Ukiamua utaweza.

it is advised that,when we set our plans the objectives should be flexible so as to copy with changing of the circumstances,may be in your relationship you were not destined to be together thats why it has ended in that manner.you have nothing left rather than to let it go and concentrate much in loving yo new partner.forget it plz.
 
Kutafuta mwanaume mwingine ilikuwa ni njia tosha ya kumsahau ex -wako, jaribu kuwa nae karibu zaidi itakusaidia!
 
Duu lara1 upo?

Me i dig what you are going through!!!!!!!!!1 ITS TUFF!!!!! Mi nilikuaga na a Muslim guy, very sweet, super nice!!!! Things aret easy dear!!!!!!! Mi nilishndwa banaaaa!!!!!!!

Ila kama unampenda sanaaaa we zaa nae tu, mambo yanakuwa si magumu sanaaaa!!!!!!!( Pia hili lilinishinda)

NA KUONESHA UKIWA WA FUNGU LA KUKOSA UTAKOSA TUUUU NA HUYU NAE MLUTHERI WKT MI ROMA, YALE YALE!!!!!!!!!

Goodluck dear
 
tumefahamu kwamba nawewe ulifika chuo,si ndo lengo lako
 
Back
Top Bottom