nimezaliwa tena

hapana mkuu kosa lilikuwa langu na nimeomba msamaha kwa mods kwani wanadai ni kosa kisheria hapa jf kumpa mtu asie member acces ya kupost jukwaani ilikuwa nipewe ban ya milele
 
Reactions: SMU

mkuu unajichanganya.yule mtoto anaitwa "smiles" sio smile.mia
 
jamani waungwana kuna mtu alikuwa anatumia id yangu kupost humu jukwaani bila idhini yangu nimechange id yangu ya bebii
Kwa hiyo yule bebii aliyetangaza kuwa anasaka mume humu si wewe? au ulitangaza kabla id haijachakachuliwa
 
jamani waungwana kuna mtu alikuwa anatumia id yangu kupost humu jukwaani bila idhini yangu nimechange id yangu ya bebii

walikuhack?kwanini usingebadilisha password?paw ndo kakushauri?ahaa!!..kumbe ndo maana kila nilipokuwa nakuchumu ulikuwa huchumwiki kila nikijaribu kukuchumu huchumwiki.asante kwa taarifa.ntakupm mkuu.mikandamizo ntaiendeleza kwenye hii id.
 
Mi nikajua birthday yako...manake niliandaa bonge lla kadi hapa!! Kumbe...dah JF bana..hongera SMILE
 
nahisi nachanganyikiwa!!! utazaliwaje upya bila mama yako wa ubatizo kujua?!!!
 
jamani waungwana kuna mtu alikuwa anatumia id yangu kupost humu jukwaani bila idhini yangu nimechange id yangu ya bebii
Du hii ishu imenistua sn,nakupa pole na karibu sn mamito!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…